Lakini ukimfuatilia KRS One a.K.a Teacher alisema Hip Hop ina elements kama 9. Ingawa watu wengi wanazijua 5. Tafuteni wimbo wa KRS One Unaitwa Hip Hop Knowledge jamaa amechambua vizuri sana kwenye autro.
hiphop inahamasisha maouvu duniani, vilevile waaanahiphop maarufu ni free masonry, tazama cover la Lupe Fiasco, the cool album,utaona fuvu na alama nyingi tu za kifree masonry. NI HATARI SANA
<br />
<br />
acha kupotosha kama jay z ni freemason ni yeye uamuzi wake binafsi na sio hiphop ni sawasawa padre awe shetani haiimaanishi kuwa wakristo ni shetani.