Understand that speacial lady you have fallen for....

A little bragging there... BUT... Finally the experience i was seeking....
So you are an original Haya... mmmh. Good for you broda.
 
Kweli kabisa ADI,

Watu wanafanya biashara ya kuwowana badala ya kuoana. And it pays!!

If you can get free milk, why keep a cow?

DC What can i possibly say hapa???? I believe nothing....
 
Hivi kuoa au kuolewa ni lazima???

ha ha ha Fidel80, you claimed to be 40 plus mpaka i had to hail kuomba msamaha....lol
Ni dhahiri wanitega, and Ashadii is always careful to sidestep
if she thinks she is not going to do justice to the obstacle...
 
DC What can i possibly say hapa???? I believe nothing....

ADI,

Tumetoka mbali wenzio...Enzi zetu weee acha tu. Yaani ukiona paja tu la msichana unaweza kupiga yowe kama vile umevamiwa na simba. Usishangae kijiji kizima kikakusanyika ku-rescue.....Enzi hizi za laani mapaja, maziwam, tumbo na mengine mengi yako nje bwelele....Ni mengi tu kuanzia smooth hadi yale yaliyo rough kama ngozi ya kenge!!!

Everythink is on a commercial break...Hii dunia yenu peke yenu aiseee!!!
 
ha ha ha Fidel80, you claimed to be 40 plus mpaka i had to hail kuomba msamaha....lol
Ni dhahiri wanitega, and Ashadii is always careful to sidestep
if she thinks she is not going to do justice to the obstacle...

Let me know
Kama sija enjoy life mpaka nioe.
 
Hapana ila ni muhimu saaaaaaaaaaaaaaaana, especially kama hutaki kuonekana wewe ni mtu nusu!!

Dah babu kwa hiyo hii kitu wanaume wenyewe tunachangia maadvataizi kuwa matawi ya juu kumbe patupu.
 
Mpenzi Dinnah waowaji siku hizi hamna sababu hata waolewaji wenyewe hamna....

Mi kuna dada nilifika bei ya kuoa lakini akaleta nyodo eti mm sio type yake leo hii kachuja ananibembeleza nimwoe.

Mi nimemwambia huwa si rewind ya nyuma na nilisha delete kila kitu kwenye memory
 
I envy the way women walikua wakitongozwa enzi hizo....
Marehemu bb yangu (may she rest in peace...)
Akisimulia the way wakaka walikua wanajigonga na the
way wanatongoza.... The process impressive...
 
Ila alipangaje? kwa nini haikuw na sie tukitaka kuolewa tunatafuta wa kwetu na kuolewa mpaka usubiri limtu lije kukuposa, mara linakutosa aaaagrrrrrrrrr

mmmh, unajua Dinnah sio wote wanawake wapitao barabarani ni waolewaji....................
 
I envy the way women walikua wakitongozwa enzi hizo....
Marehemu bb yangu (may she rest in peace...)
Akisimulia the way wakaka walikua wanajigonga na the
way wanatongoza.... The process impressive...

Chagulaga mayo au siyo
 
Let me know
Kama sija enjoy life mpaka nioe.

Hey... just tell me straight forward kua hujaoa.... after all ninampango wa
kurusha the way i persceive a married bachelor at a certain age..
 
mmmh, unajua Dinnah sio wote wanawake wapitao barabarani ni waolewaji....................

Hahahaha Bacha kwa mujibu wa research yangu wanawake wenye mvuto wa kimapenzi asilimia kubwa hawaolewi.
 
Mi kuna dada nilifika bei ya kuoa lakini akaleta nyodo eti mm sio type yake leo hii kachuja ananibembeleza nimwoe.

Mi nimemwambia huwa si rewind ya nyuma na nilisha delete kila kitu kwenye memory

Mume wahi fanya the needful???
 
Hey... just tell me straight forward kua hujaoa.... after all ninampango wa
kurusha the way i persceive a married bachelor at a certain age..

Mi upande wangu nimeachika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…