Lugovoy
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 595
- 195
Kwa wale wa Mwenge University College of Education mzigo huu hapa ama unaweza tembelea ICT-Atelier: MWUCE kwa majina hayo na maelezo mengine ya ziada.
kwa wale wa mwenge naomba niangalizieni jina hli wanajamvi wenzng EMMANUEL J JONAS
Duh... kweli bongo tumeendelea, mayunivazti everewea, hii MWUCE ndo naiskia asubuhi hii..
S1859/0079/2010 Bed science
umetisha mkuu may the God spirit be with u
Jamani hiyo barua ya kujiunga naipataje?
Maana muda umeshakatika tar 7 ni wiki ijayo tu!