Undergound Fisadi


Ndebile

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
3,952
Likes
2,421
Points
280
Ndebile

Ndebile

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2011
3,952 2,421 280
Usione watu wanasema ufisadi mioyoni kila mtu anatamani apate nafasi ya kufanya hiyo dhambi hebu ona hii:
Kuna mkutano wa chama cha wauguzi TANA unakaribia kufanyika Singida kila wilaya imepewa nafasi mbili za washiriki, hapa mwanza kuna viongozi wa waliomaliza mda wao lakini nao wamelazimisha uongozi mpya uwachague kwenda kushiriki. Kuwatuliza watu wazima hovyo hao ikabidi barue ichakachuliwe waongeze majina yao. Milioni mbili wamepewa kwa ajili ya safari na kujikimu. Kama wangependa kwenda kuhudhulia mkutano wajilipie,hata mimi natamani kuwa fisadi! Jamani ha a wauguzi nao mpo?
 

Forum statistics

Threads 1,237,884
Members 475,775
Posts 29,304,603