Undani wa mwanamke

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,027
1,299
Habari! Kwa heshima na tahadhima nipo mbele yenu ukiwa/mkiwa kama mdau/ wadau wangu wakubwa ufanikishae mambo yangu mengi kwa namna moja hama nyingine, nina kazi naomba niwashilikishe mnisaidie kwa mawazo yenu kwa ni muhimu sana kufanikisha jambo lenyewe.

Ninataka kuandika kitabu kihusucho wanawake hasa mahudhui yake yakiwa huu ndiyo undani/ asili ya maisha ya mwanamke, nikuombe sasa wewe mdau wangu nisaidie kumfahamu huyu mwanamke ni mtu wa aina gani kwa mapana zaidi, tabia zake zikoje, anapenda kuishije, mabadiliko yake utegemea nini hasa na katika kipindi gani?

Na mengine mengi yamhusuyo huyu mwanamke, karibu changia bila kejeri nitashukuru sana kurifanikisha ili kupitia wewe.
 
Na mimi ntapenda njifunze sana kutokana na comments zitakazotolewa kwenye mada hii. mana huwa ninajiuliza sana kwanini kuna uadui sana kati ya mama wa mwanaume(ingawa si wote) na mke anaemuoa,kiini ni nini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom