Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,639
Kifaa hiki kinaweza kutumika kwa ajili ya
Kurushia mawimbi ya radio umbali wa kilometer mbili,
Mdau mmoja wa Kariwa Tabora ambae amefunga
Transmitter hii kasema imerusha mawimbi
Hadi kilomiter tatu.
Unaweza kutumia kifaa hiki kama radio ya matangazo kama unakibari kutoka
TCRA
Vitu vya hapa vinavyo takiwa kuongezeka ni mixer pamoja na mic
Ya kutangazia.