dah, jamani tuwe wakweli inteligensia ya tz iko juu! achilia mbali madhila ya wanausalama wasiowaaminifu wanayosababisha kwa wa watu wasio na hatia, hii yote ni katika kitii mamlaka tukutu na isiyo na chembe ya aibu.
lkn akitokea kongozi/mamlaka iliyo na integrity inteligensia iko vizuri wanajitahidi!
sisemi kuliko sehemu nyingie laa!
good work