Waaaaaacha weeeeeeeeee...!! Na hicho kidhungu.. Mie hooooooooooiiiiiiiiii..!! Lol
we mgomvi kumbee?
sasa hiko cheti chako cha hotel management utaweza 'kidhungu' hiki?lol
Hahahaaa... Hicho kidhungu akiniongelesha nitamjibu " Mimi Maimuna" Nanga inapaaa...!!
Usijivunge mume ndo huyu lol
na english course juu anakupa lol..
Hivi ile PM ya kukwambia nimerudi kwako rasmi hukuipata??
Naomba tuu kadi maalumu ili nisipange foleni..!!
Sikuipata,hebu rudia tena rasmi lol
Hahahaaa... Kama hukuipata ndio nakwambia sasa rasmi..!!
Nimezunguuuka weeee, nimegundua kumbe wewe ndio tulizo la nafsi yangu..!!
Naomba unipokee tusongeshe life kama zamani..!!
Wako katika malavidavi....Neylu
Kopi nimeituma kwa PM..!!
Inabidi nikupe mkataba wa ku sign kabla usije ondoka tena kienyeji..
Yaani nimekoma..! Kwako sitabanduka hata iweje..!!
Nipe tuu huo mkataba ni sign haraka..!!
mkataba unasema marfuku 'kushobokea tena'..kwingine
haswaa wenye english hii ya hotel management lol
Hahahaaaaa..... Sitashoboka na hao, wala sitakuwa na muda wa kuhashuana nao..!
Unakaribishwa tena but ukitibua hii second chance
hutarudi tena...kazi kwako sasa lol
Kumbe mko kikundi, wangapi vile?Simply no need 4 much explanation you would see a real love from gentlemen