luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
nani kakuchamba?mimi nmechammbwa mpaka sina hamu![]()
Misiba imebadilika wanawake tubadilike piga picha mmeo amelala kwenye jeneza umejirembaaa wanja umekolea balaa lipstic ndo usiseme utalia lini? Si machozi yataitoa vipodozi??