Uncle Shamte ana ulimbukeni wa mapenzi

Post za jf bana zinaenda na upepo
Yaani kama umepost alafu mtu wa kwanza kakupinga basi ndo mwendelezo

Inshort jamaa wamemkataa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ndo hivyo inakuwaga kumbe na wewe umewasoma wadau😂😂😂comment tatu za mwanzo ndizo zinaamua hatima ya uzi wakikusagia kunguni ujue msago utaendelea mpaka hatma ya uzi😃😃...
 
Ukiona ivyo ujue ushaanza kuwa Mzee. Apo inabidi utoke Instagram. Wanaume wengi hawapo kwy mitandao ya kijinga jinga. Wewe unakuta dume zima lipo Snap chart
 
Lkn kusema kweli huyu mama anavo fanya vile niwaaambie kabisa aa anatunaniliu.........sasa je sisi mnataka tufe na minyege?? nawauliza waungwana tu!
 
Mbona makasiriko jomba?
 
Mkuu, anko Shamte ni mtanzania yupo huru kufanya anachojisikia isiwe tu kinavunja sheria na taratibu za nchi, na kikubwa zaidi kamuoa ndoa halali kabisa kabisa huyu bi mkubwa, ninachoona hapa unaingilia binafsi ya mtu ambayo ni haki yake
Pamoja na uhuru mkuu kinachoniudhi mie! nakaribia kufa !yale mamijina bana weeeee!!...... hee naona km huna raha si raha ivi!! kifo si kifo vile ivi jina km Mariooo!.......aya! yayayayayay hallow!!........unatamani ufe kabisa!!

Kalafu mama anaweza kukupiga makofi!! nasema ivo kwa sababu nilikuwaga na kademu bana kana gari aina ya opa neu model!! Mama weeee! majidai km yote! yaani kinaweza kikakushusha garini looo!! ....Nikasema subiri ...... nilikaaga naenda Moro!! nikaenda mazimaaaaa!!!...

Kuumbe bana kalikuwa kanatembelea nyota yangu bana!! kile kigari kilikufa tukifo cha gahfla hakikugongwa wala kujeruhiwa!!...hasa ukiwa na marafiki vigwadugwadu mbona utakomaaaa!!!
 
Kijana wa kichangani( Moro) acha ale vitu vya bibi t, na jina kapata kimseleleko, magimbi ya matombo yanampa nguvu ya kumsugua vizuri bi Sandra.
 
Huenda hayo ndiyo majukumu yake aliyopangiwa, na asipo wapost anafurumushwa kwenye Nyumba..
 
Comment ya mtu mwenye uzoefu wa maisha.Sikujui ila nauhakika unafurahia maisha
 
Sasa anko shamte anaweza kubeba zege kweli?maana hana cha elimu yoyote..
 
Umeandika kwa uchungu sana!
Huyo si ni mke wake,akimbaashia kuna tatizo gani?
Kwani Diamond ameshakulalamikia kuwa Shamte anamdhalilisha?
 
NDEGE WANAO FANANA HURUKA PAMOJA,
UKWELI WOTE MWANAMKE NA MWANAUME AKILI 0
 
Sasa jitu la hovyo kama hilo unadhani lina historia gani ya maana mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…