Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Crap…..Nashindwa kuelewa huyu mume wa mama wa mwanamuziki Diamond ana akili gani?
Kila anachokifanya na mke wake anakipost Instagram, anapiga picha na mama yake Diamond za aibu.Mfano kwenye profile ya Insta kaweka picha anambashia mama Dangote.
Hivi anajielewa huyu? Haoni kama anamdhalilisha Diamond?
Kwenye page ya Insta anapost familia ya Diamond ,watoto wake na Diamond mwenyewe.
Amekuwa chawa mkubwa wa Diamond na familia yake.
Ameshindwa kusimama kama baba, maisha yake ni mtelezo tu kutoka kwa huyo mama anayeonekana mkubwa kupita yeye.
Anapata wapi muda wa kufanya kazi au ndo kafata pesa kwa huyo mama?
Anayemjua anipe wasifu na historia yake kwa ujumla.
Aache ulimbukeni si kila kitu katika ndoa yao apost mtandaoni.
Acha afaidi maisha mkuu... Life is too shortNashindwa kuelewa huyu mume wa mama wa mwanamuziki Diamond ana akili gani?
Kila anachokifanya na mke wake anakipost Instagram, anapiga picha na mama yake Diamond za aibu.Mfano kwenye profile ya Insta kaweka picha anambashia mama Dangote.
Hivi anajielewa huyu? Haoni kama anamdhalilisha Diamond?
Kwenye page ya Insta anapost familia ya Diamond ,watoto wake na Diamond mwenyewe.
Amekuwa chawa mkubwa wa Diamond na familia yake.
Ameshindwa kusimama kama baba, maisha yake ni mtelezo tu kutoka kwa huyo mama anayeonekana mkubwa kupita yeye.
Anapata wapi muda wa kufanya kazi au ndo kafata pesa kwa huyo mama?
Anayemjua anipe wasifu na historia yake kwa ujumla.
Aache ulimbukeni si kila kitu katika ndoa yao apost mtandaoni.
Mwamba umefunga uzi tatizo kubwa la wabongo wanapenda Sana kufuatilia maisha ya watu wakati ya kwao yamewashindaACHA ULIMBUKENI
Kama anakukera wa nini kumfollow huko instagram?!
Huna kazi za kufanya hadi ufocus na yasiyokuhusu!!
Kama mimi tu kutwa kucha kukudangia nitakula wapi mimi dume suruali nikiacha?Anko shamte hana kazi, ni mfugo tu....
asipofanya hivo atakula wapi!!!
Anko shamte jr 😁Kama mimi tu kutwa kucha kukudangia nitakula wapi mimi dume suruali nikiacha?
Ili iweje sasa. Kama anakukera na maisha yake, historia yake ndio itakupendeza. Au unataka kumsaidia kutumia hela anazodanga.Anayemjua anipe wasifu na historia yake kwa ujumla.