Unazuia sherehe za Uhuru, unaadhimisha birthday ya CCM

Kwani sherehe za kuzaliwa chama zinasimamiwa na Rais au Mwenyekiti wa chama? Bajeti yake ni ya Serikali au chama?
 
Bajeti ya Sherehe ya Birthday ya CCM inahusika na CCM, CCM wao wenyewe wanajua Bajeti yao wanatoa wapi wao ka chama.
Sasa ntakushangaa sana unapotaka kulinganisha swala la CCM na Serikali, Magufuli alienda kama Mwanachama wa CCM pale hajaenda kama Rais, Ingawa Kiti cha Urais Kipo palepale.
Huwezi kuta Budget ya CCM serikali kwa sherehe hizo.

Ivo Maadhimisho ya Chama cha Mapinduzi yataendelea Miaka yote
 
Sisiemu sio chadema, miaka 39 ni milestone, lazima waiadhimishe kimtindo wao, hutaki acha.
Sijali kama ni mwaka mmoja au karne, waache washerehekee hata wawe uchi, wasitumie pesa za walipa kodi tu, hilo ndilo ninalozungumzia. Wakishereheka, wasishereheke mimi hainizidishii wala kunipunguzia mapato. Wasizuwie watu kusafiri kwa hela yao wenyewe pia.
 
Sasa kubana matumizi ya serikali kuna uhusiano gani na matumizi ya magamba???
Tulitaka rais aingilie matumizi ya fedha za vyama?????
Hawa "great thinkers" wa siku hizi wakoje????????
 
Mabadiliko ulikuwa msafara wa mamba Kenge walijipaka rangi sasa wanaonekana kwa mwendo wao,
Kama kuna mtu anategemea mabadiliko kutoka chama tawala nampa pole hizi zote ni changa la macho ukistaajabu ya Lema...... Umesahau bara wamekatazwa kusherehekea sikuku ya uhuru unapoenda kusherehekea mapinduzi ya zanzibar Unayemdanganya ni wewe mwenyewe CCM ni ile ile.
 
TH
 
Kwa mtu timamu ni lazima kulikuwa na alama ya kujiuliza.Lakini pia tukumbuke kwamba CCM ni chama kwa hiyo upo uwezekano kwamba kilitumia mafungu yake,ingawa uwezekano ni mdogo sana,hasa ukizingatia na historia ya CCM ya kuvuta mikwanja ya serikali.Hata hivyo nikiri kwamba kama JPM atakuwa ameruhusu matumizi ya fedha za serikali katika sherehe hizo kama ilivyozoeleka kwa CCM, atakuwa ameonyesha mfano mbaya na kosa kubwa sana.Hii nchi ni nchi ya vyama vingi kwa hiyo vyama vyote lazima vipate haki sawa.
 
Du!na wewe unaamini ccm wanatumia pesa zao na sio za serikali?kweli mmetekwa akili na ccm
 
Nadhani unataka kujifanya kuwa ni mwelewa sana, lakini ww hujui chochote yani ni sawa na debe tupu, Makufuri ndo mwenyeki wa ccm? ccm ina miradi yake na taratibu zake, Magu ni Rais wa nchi na alizuia zile serehe kwani zilikuwa ndani ya uwezo wake, wakati mwingine muwe mnafikiri kwanza kabla ya kukurupuka, haya twambie hizo sherehe zimetumia bei gani hapo Singida? acha mambo ya kukaririshwa mambo!
 
Sherehe za uhuru zinatumia kodi za wananchi.
CCM ni private party, inatumia pesa zake.

Ni sawa na useme unakataza sherehe za uhuru while unafanya reception za harusi
 
Hizo gharama za kuandaa sherehe ni kweli za CCM. Lakini hiyo haijaifanya serikali kutokuingia gharama kwa kuwa viongozi wakuu wa nchi walihudhuria. Imagine gharama za kusafirisha Rais kwenda na kurudi. Gharama za kukatisha mikoa Minne. Hivi unafikiri askari wangapi walikuwa on duty!? Unataka kusema CCM walipapenda gharama hizo zote pamoja na za mafuta na Malazi!?

Rais kwenda huko siyo dhambi bali anapingana na dhana yake ya kubana matumizi!! Hicho ndiyo kinachohojiwa hapa!!!
 
Rais anabana matumizi yasiyo na ulazima, lakini hawezi kuacha kuhudhuria sherehe zakuzaliwa kwa chama chake hasa ukizingatia kuwa chama hicho ndio kiligharamia sherehe nzima. Kuhusu gharama za usafiri naomba ujiulize hili swali ambalo litakupa jibu ya swali lako; HHivi wew ukialikwa kwenye sherehe utataka pia wakugharamie mavazi pamoja na usafiri?
 
Mtoa mada unasahau mwenyekiti wa ccm ni ntu ingine na rais wa Jamhuri ni JPM. Mkuu hana namna ni kufuata mwongozo wa chama kwani yeye si kiongozi mkuu wa chama. Acha wampe uenyekiti utaona muziki wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…