Unazikumbuka hizi?

Unazikumbuka hizi?

queenlishas

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
288
Reaction score
76
Enzi izo ukikosana na mwenzako tu ana anza twende twende sura ka chapat
Macho ka mjusi kabanwa na mlango..
Kichwa ka boga....
.
.
mpaka unalia..hahaha Embu na we nipe ile ilikufanya ulie
 
Nakumbuka vizuri sana nilishaambiwa nina mikono mirefu utafikiri mpokea maiti
 
nilishawahi kuambiwa miguu mirefu kama mchimba makaburi
 
ni utoto tu nakumbuka sana zile za "baiskeli mbili zinapiga msele baiskeli mbili zinaga msele na ...,, chako kinachagua mchele"
 
Mi nakumbuka nilitaniwa,,,,eti uso mpana kama gaguro la mhindi........
 
Najua ulisoma shule za ufagio na kidumu cha maji,
Utakuwa si mgeni wa,,,,
-Pamela na kipini,
-Siku ya gulio,
-Watoto wageuka mawe,
-Mkutano wa wanyama,
-Nani atamfunga paka kengele,
-Muwa uliozamisha meli,
-Sadiki na Chitemo,
-Jogoo wa ajabu,
-Mpapai na mtete,
-Kuku na yai,
-La!La!Laaaa,
-Punda wa dobi,
Hapo vipi unakumbuka wapi?
 
Mi nakumbuka nilitaniwa,,,,eti uso mpana kama gaguro la mhindi........

Hahahahaaa..uyo aliekupa ilo inainekana kwao kulikua na video na caset za kihind.ndo mana analijua vizuri gaguro la kihind
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom