The Pen
JF-Expert Member
- Dec 31, 2010
- 755
- 261
Km huzijui, hapa ndio pa kujifunza. Angalia mwenzako Khanji Bhai alivyojibu kwa ufasaha:
(1) Mfa maji?… tampa life jacket.
(2) Mwenda pole?…tachelewa fika.
(3) Usipoziba ufa ?…mizi taona mpaka dani.
(4) Usilolijua?…uliza google.com.
(5) Mbio za utelezini?…chafua guo yako.
(6) Ukipenda boga?…ngoja mezi ya ramzani tapata.
(7) Ukiona vinaelea?…iko nyepesi hiyo.
(8) Maji yakimwagika?…mambie dada ta-deki.
(9) Chelewa chelewa?…takosa guo ya sukukuu…..
(10) Kila ndege .....? Hutua Airport
(11) Bandu bandu ....?bandu bandu nini, bandua iyo bana....
(12) Mtaka cha Mvunguni ....? Binua tanda
13) Simba mwenda kimya .....? Iko gonjwa kama sio gonjwa iko fungwa na Yanga
(14) Aisifuye mvua ....? Mkulima
(15) Barabara ndefu ....? Ongeza mwendo, tachelewa fika
(16) Mlanawe hafi nawe ila .....? Takimbia
(17) Asie sikia la mkuu ....? Tapeka jela
(18) Hasira za mkizi ....? Tatafuna veve
(19) Ujanja mwingi....? Hapana mpa kazi taibia yeye
(20) Akumurikae mchana ....? Kipofu
(21) Mficha maradhi ....?Taenda Loliondo
(22) Mkataa wingi ....? Taenda Chadema
(23) Bendera ....? Kama sio ya CCM, ya CUF
(24) Baniani mbaya ....? Sio kweli, naonea tu yeye
25) Akili nyingi ….? Tapasi mtihani