SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,947
- 2,032
Kwanza embu chukua gari yako halafu iendeshe tu kipande kile kifupi kuanzia pale Mabibo Mwisho endesha mpaka hapa tu kwenye kituo cha mwendo kasi big brother halafu turn tena to Mabibo Mwisho halafu paki gari yako pembeni uanze kufikiria kama kipande kile cha barabara akichafui kazi yako nzuri unaiofanya ya kuzijenga barabara nzuri za Dar.
Pale sokoni panaipa kila sababu kipande hiki kutanuliwa na yale mashimo kufukiwa. Mhusika mtia saini mpaka siku Rais apite njia hii ndio utatukumbuka?
Pale sokoni panaipa kila sababu kipande hiki kutanuliwa na yale mashimo kufukiwa. Mhusika mtia saini mpaka siku Rais apite njia hii ndio utatukumbuka?