Unayaongleaje majina yafuatayo katika siasa za Tanzania?

Unayaongleaje majina yafuatayo katika siasa za Tanzania?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,425
Tanzania, kama nchi nyingine duniani, ina viongozi. Yafuatayo ni majina ya baadhi ya viongozi ambao, kama utaombwa kuyaelezea au kuwaelezea unavyowakumbuka, wapenda, wachukia, ubora, uhovyo, nk, utawaelezeaje?

  1. Julius Kambarage Nyerere,
  2. Abeid Aman Karume,
  3. Ali Hassan Mwinyi,
  4. Benjamin Mkapa,
  5. Jakaya Kikwete,
  6. John Magufuli na,
  7. Samia Suluhu Hassan.
 
Jk Nyerere-katiba mbaya na mifumo kandamizi

John Magufuli -mzalendo

Samia Hasan - bado sijajua uelekeo wake

Jakaya Kikwete - kula Bata

Abedi Karume - simfahamu

Benjamin mkoa - Alimtetea Magufuli
 
1.Nikiwa mdogo nilipenda hoja zake,hasa vita dhidi ya Uganda:Uwezo wa kupiga tunao,Nia tunayo,tunataka Dunia ituelewr hivyo!Kauli ya kishujaa hata katika maisha kwa ujumla.
 
Jk Nyerere-katiba mbaya na mifumo kandamizi

John Magufuli -mzalendo

Samia Hasan - bado sijajua uelekeo wake

Jakaya Kikwete - kula Bata

Abedi Karume - simfahamu

Benjamin mkoa - Alimtetea Magufuli
Magufuli ni shetani. Samia ndiye rais wa hovyo kuliko wote. Nyerere alaumiwe sana kwa kutotupatia katiba nzuri. Mwinyi, mkapa, ******** walikuwa wez wakubwa. ******** alijifanya mlinzi wa rasilimali lakini alikuawa jizi na katili mbaya kabisa. Kwa kifupi ccm ndiyo laana kubwa tuliyolaaniwa watz.
 
Back
Top Bottom