NakubaliDada ako usimwambie
Yan usithubutu kuwachonganisha na kuwaingilia watu wawili wanaolala uchi pamojaβ¦siku wakipatana sijui utaweka wapi huo uso wako.
Kama unajimudu mwambie huyo shemejio, mwambie dada ako kakupa ABC hizi na wewe nina ushahidi kuna mahali unafanya 123β¦ then ongeeni kuanzia hapo..
Mkipigana mtajiju..
Ahsante sanaChangamoto zpo kila mahali, s vyema kumuambia ukweli dada yako maana utakuwa unawagombanisha.
Kama unammudu shemejio bas zungumza nae(kiuanaume na s kimbea mbea), afanye uamuz kama n kumuacha amuache dadayo kuliko kumletea magonjwa.
Na pia kama dadayo afany kaz mtafutie shughuli ya kufanya, hii itamsaidia kwa namna moja ama nyingine.
Dada ako usimwambie
Yan usithubutu kuwachonganisha na kuwaingilia watu wawili wanaolala uchi pamojaβ¦siku wakipatana sijui utaweka wapi huo uso wako.
Kama unajimudu mwambie huyo shemejio, mwambie dada ako kakupa ABC hizi na wewe nina ushahidi kuna mahali unafanya 123β¦ then ongeeni kuanzia hapo..
Mkipigana mtajiju..
Nilitarajia kukutana na comment kama hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Snitch
Pesa inatolewa kuwasaidia Dada na wapwa zangu,sijasema natoa pesa ili shemeji aka enjoy na mchepukoAnayekuhusu hapo ni dada yako, maana unaweza kumwambia shemeji yako kumbe dada ndio mzinguaji, na umesema unatoa pesa shemeji anaenda kuenjoy na mchepuko una uhakika?? Usikute mchepuko ndio unaomuweka shemeji yako mjini.
ππππNilitarajia kukutana na comment kama hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
π π π Mapenzi siku hizi yashaisha watu wanatafuta pakutolea stress tu π πKwanini usimwambie?, Kwanini ukae kimya????... Huwezi mbadilisha shemeji eti Kwa mikwara yako, huwezi ingilia ndoa ya shemejio Kwa kumuwekea Sheria zako, ilhali Ile ni nyumba yake... Sana Sana atabadili njia ya kuchepuka basi, kama ulimkuta lamada open place basi huwezi tena mkuta apo,ataingia Chocho za ndani ndani kbs, huku ukijua umekomesha kuumbe unazd muumiza sister yako.
Dada yako ndiyo anatakiwa kubadilika, dada yako ndiye mwnye maamuzi, kusuka ama kunyoa, kuvumilia ama kuondoka. Ila si kwa ww kumpa mikwara shemeji yako. Mchane ukweli sister yako, na umuulize uamuz wake yeye ni nini na ww pia umpe ushauri namna ya kufanya vile unavyoona wewe, maana ni ndugu yako usimuache ateketee...
Lakini la mwisho, mapenzi upofu,,, mwambie awe makini katika maamuzi yake[emoji6]
Kama dada ako ana kazi au kabiashara aelekeze akili zake kulePesa inatolewa kuwasaidia Dada na wapwa zangu,sijasema natoa pesa ili shemeji aka enjoy na mchepuko