Unawezaje kupiga hela kupitia TWITTER?? X bila Kua na mtaji

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,912
Wakuu nimekua twitter nina muda sana ninachokiona humo ni harakati!… Nafuatilia harakati za kanda ya ziwa ziko moto na ushenzi wa bongo na siasa kidogo!!

Lakini pia ni mtazamaji wa zile video!… sasa huku na kule nikakutana na page moja!!…Lahaulaaaaah Daah nilichokiona humo ni balaa lakin pia nikakuta advertisement kua kama unataka video zaid DM uungwe kwene grup la telegram

Si nika dm!!…
Nikaletewa bili 30$ kwa mwaka kuaddiwa humo
na kuna grup tofaut tofaut ziko tatu ukitaka zote 90$
Malipo n kupitia visa na paypal

Ndipo akili ikanijia kumbe kuna watu wanafanya biashara kupitia Addiction za watu!!….
Nikawaza kama naweza fanya biashara ya mtindo huo but siyo hyo!!

Iwe n ya kumuunganisha mtu na service fulan ambayo ngumu kuipata afu ana subscribe kwa mwaka analipa ada!!….

Mfano wa grup za ivo inaweza kua grup za forex sema hapa mimi hapa sina ujuzi!

SWALI LINABAKI JE NAFANYAJE BIASHARA TWITTER ambayo haihitaji kua na physical product au isiyo na kutumia mtaji
 
Everything has a price to pay

Hakuna biashara bila mtaji hata wanaojiuza wanalipia kwa kujitibu magonjwa ya zinaa
 
Everything has a price to pay

Hata uwe huna kitu Wewe ndo unaweza kuwa mtaji kwa wengine na ukatumiwa kama ngao na kuachwa ukiwa umeheribikiwa

mkuu hapo hujaelewa…. nimetolea mfano forex
kunakua na ada labda ya kuwaunganisha watu kwene grup la forex

Sasa apo umetumia mtaji gan?? ni kwamba una access ambayo watu hawana unawaunga kwa pesa!!..Unaamini biashara zote zinahitaji mtaji au zinakuhitaji ww!!

Mfano mwingine: Kuwaunganisha watu na best wafanyabishara wa china au chimbo la vifaa au bidhaa fulan but kwa ada

nadhan umeelewa kidogo
 
Nenda kafanye hiyo forex utajua unatumia mtaji gani
 
Wakuu nimekua twitter nina muda sana ninachokiona humo ni harakati!… Nafuatilia harakati za kanda ya ziwa ziko moto na ushenzi wa bongo na siasa kidogo!!

Lakini pia ni mtazamaji wa zile video!… sasa huku na kule nikakutana na page moja!!…Lahaulaaaaah Daah nilichokiona humo ni balaa lakin pia nikakuta advertisement kua kama unataka video zaid DM uungwe kwene grup la telegram

Si nika dm!!…
Nikaletewa bili 30$ kwa mwaka kuaddiwa humo
na kuna grup tofaut tofaut ziko tatu ukitaka zote 90$
Malipo n kupitia visa na paypal

Ndipo akili ikanijia kumbe kuna watu wanafanya biashara kupitia Addiction za watu!!….
Nikawaza kama naweza fanya biashara ya mtindo huo but siyo hyo!!

Iwe n ya kumuunganisha mtu na service fulan ambayo ngumu kuipata afu ana subscribe kwa mwaka analipa ada!!….

Mfano wa grup za ivo inaweza kua grup za forex sema hapa mimi hapa sina ujuzi!

SWALI LINABAKI JE NAFANYAJE BIASHARA TWITTER ambayo haihitaji kua na physical product au isiyo na kutumia mtaji
Ukitoa hizo dola 30 au 90 ndipo utakapofanyiwa biashara na utalipwa zaidi.Hakuna mwengine anayeweza kukulipa. Jee hiyo biashara ungeweza ?.
Mimi staki kitu hicho kabisa.
 
Acha na uhuni wa twita.
Tafuta nitche yq maana. Kama hujui kiingereza nenda chatgbt iambie ikusaidie na kukuandikia posts za kiingereza. Kisha anza kuforce hadi uwe ubapata viewers wa kutosha.

Ukitia na dua kidogo, Eron atakuona utaanza kupata monetization.
 
Back
Top Bottom