mutisya mutambu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 208
- 82
Kama unamashamba oa hata watatu wagawie mashamba wakakulimie hv watakuwa bze na kilimo wala hutasikia kelele za mtu.
ushauri mzuri lkn ck hizi aridhi imekuwa ni kitendawili kuipata na kutosheleza mahitaji coz wawekezaji wamekuwa wengi nchini
Wwe ni Me au Ke???
:focus:
Tekniki tu, unaweka zamu ya kulala,
Leo kwa Bi Mdogo kesho Bi Mkubwa,
Lakini hakikisha unakula Mkuyati.......otherwise kuna sehemu utakuwa unasaidiwa
Ila pesa watatafuta wenyewe,
Kwa uhalisisa zaid muulize Maulid Kitenge
Inategemea sana na mke anaeletewa mwenzie ndani yukoje kama mie ili mradi naelewa ni jambo lipo katika dini yangu why mume wangu akazini nje kumbe ana uwezo wa kumuoa aoe tu namruhusu na ukiona mwanamke wa kiislam hakubali matha hii ujue dini yake mwenyewe inamshinda.Hivi wanawake unawajua vizuri au una sikia sikia tu kuhusu wao? kama umeona ni vyema kuoa oa ila lazima uwe tayari kubeba stress kwa upana wake. May be 2% wameoa wake 2 na hawana stress, kusema kila mtu ameridhika ktk ndoa. Hao waislamu tu japo wanaruhusiwa, lakini wake zao wanagoma kuletewa bi mdogo ndani
sasa nyie mnataka kuoa wengi ili muolewe, uwe unapiga chenga za kula huku na huku bila kutoa hela??? hela ya chakula ya nyumba 2 mnatoa wapi wakati nyumba moja yenyewe kitendawili. kibaya zaidi mnataka wanawake wawili wote wafanyakazi.
Ili uweze kudumu na wake wawili
1. Ukishapanga ratiba marufuku kuibadili
2. Hakuna kufatilia wake zako we ridhika tu
Inawezekana kabisa hata wakiwa watatu, Ni jambo ambalo limeruhusiwa kisheria, hivyo linautaratibu wake. sio suala la kukurupuka. kabla hujaingia kwenye ndoa yoyote lazima ujue, ni yupi unayetakiwa kumuoa?
vigezo na masharti yapi yanatakiwa kuzingatiwa? sababu zinazokupelekea kuongeza mke? uwezo wa kutimiza mahitaji kwa wote? na mambo mengine mengi ukisoma mafundisho ya ndoa utaelewa vizuri.
Ila kama utakurupuka kwenye kuoa usitegemee kama utaweza hili, kwani kazi yake itakuwa kubwa hadi kuelewana. NB; Hii ni kwa mujibu wa mafundisho ya uislam, kwasababu ndio dini inayoruhusu jambo hili.
Kama unamashamba oa hata watatu wagawie mashamba wakakulimie hv watakuwa bze na kilimo wala hutasikia kelele za mtu.
hakuna uwezekano kabsa, na ucjaribu. ucje ukawa pbm: poor brain man. acha hayo mawazo baki njia kuu