Unawezaje kumudu wake wawili?

Unawezaje kumudu wake wawili?

mutisya mutambu

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
208
Reaction score
82
Habari jamani,

Tafadhali kwa mwenye kujua namna jinsi ambavyo unaweza kumudu ndoa mbili bila hata kuleta ugomvi na kuishi kwa amani tujuzane tafadhali kuwa anaweje kumudu wake wawili
.
 
Wwe ni Me au Ke???
:focus:
Tekniki tu, unaweka zamu ya kulala,
Leo kwa Bi Mdogo kesho Bi Mkubwa,
Lakini hakikisha unakula Mkuyati.......otherwise kuna sehemu utakuwa unasaidiwa
Ila pesa watatafuta wenyewe,

Kwa uhalisisa zaid muulize Maulid Kitenge
 
Hubby wako anataka kumleta mwenzio nini? Inawezekana tu mbona japo sikuhz du unalala na huyu ukimwacha mwenzie peke yake usiku mmoja tu tayari unapandwa na maswali,huenda ana jamaa au la...in short kuaminiana kumepungua

Changamoto nyingine ni uwezo wa kuwahudumia wote vizuri ipasavyo
 
Kama unamashamba oa hata watatu wagawie mashamba wakakulimie hv watakuwa bze na kilimo wala hutasikia kelele za mtu.
 
Inawezekana kabisa hata wakiwa watatu, Ni jambo ambalo limeruhusiwa kisheria, hivyo linautaratibu wake. sio suala la kukurupuka. kabla hujaingia kwenye ndoa yoyote lazima ujue, ni yupi unayetakiwa kumuoa?

vigezo na masharti yapi yanatakiwa kuzingatiwa? sababu zinazokupelekea kuongeza mke? uwezo wa kutimiza mahitaji kwa wote? na mambo mengine mengi ukisoma mafundisho ya ndoa utaelewa vizuri.

Ila kama utakurupuka kwenye kuoa usitegemee kama utaweza hili, kwani kazi yake itakuwa kubwa hadi kuelewana. NB; Hii ni kwa mujibu wa mafundisho ya uislam, kwasababu ndio dini inayoruhusu jambo hili.
 
Tafuta limbwata,wapige wawe mazuzu,kinyume na hapo ni kujidanganya na kujifariji tu,
 
Ili uweze kudumu na wake wawili
1. Ukishapanga ratiba marufuku kuibadili
2. Hakuna kufatilia wake zako we ridhika tu
 
Kama unamashamba oa hata watatu wagawie mashamba wakakulimie hv watakuwa bze na kilimo wala hutasikia kelele za mtu.

Ushauri mzuri lkn ck hizi aridhi imekuwa ni kitendawili kuipata na kutosheleza mahitaji coz wawekezaji wamekuwa wengi nchini
 
ushauri mzuri lkn ck hizi aridhi imekuwa ni kitendawili kuipata na kutosheleza mahitaji coz wawekezaji wamekuwa wengi nchini

Sasa nyie mnataka kuoa wengi ili muolewe, uwe unapiga chenga za kula huku na huku bila kutoa hela??? hela ya chakula ya nyumba 2 mnatoa wapi wakati nyumba moja yenyewe kitendawili. kibaya zaidi mnataka wanawake wawili wote wafanyakazi.
 
Wwe ni Me au Ke???
:focus:
Tekniki tu, unaweka zamu ya kulala,
Leo kwa Bi Mdogo kesho Bi Mkubwa,
Lakini hakikisha unakula Mkuyati.......otherwise kuna sehemu utakuwa unasaidiwa
Ila pesa watatafuta wenyewe,

Kwa uhalisisa zaid muulize Maulid Kitenge

Sasa hayo yote ya nini mkuu?
 
mutisya mutambu

Hivi wanawake unawajua vizuri au una sikia sikia tu kuhusu wao? kama umeona ni vyema kuoa oa ila lazima uwe tayari kubeba stress kwa upana wake. May be 2% wameoa wake 2 na hawana stress, kusema kila mtu ameridhika ktk ndoa. Hao waislamu tu japo wanaruhusiwa, lakini wake zao wanagoma kuletewa bi mdogo ndani
 
Last edited by a moderator:
My dear mathna wathalatha wa'arba'a wawili tu umeingiajoto wanne utmudu

Back to topic iko hivi mume ndie mpangaji zam wake hukubaliana au kuridhia na lile aliloleta mume mbele ake. ktk upangai huo wa zam lazma haqqi iwe sawa bin sawiya viginevyo kesho kwa Allah ana jukumu kubwa unaweza kudumu nawake hata wanne ts very simple. ni ngumu sana kwa wake kukubaliana ila haitakua namani na ndoa yako kama utafanya siri kuhusu ndoa yako mpya mana itakua ngum kupanga zamu.
 
Hivi wanawake unawajua vizuri au una sikia sikia tu kuhusu wao? kama umeona ni vyema kuoa oa ila lazima uwe tayari kubeba stress kwa upana wake. May be 2% wameoa wake 2 na hawana stress, kusema kila mtu ameridhika ktk ndoa. Hao waislamu tu japo wanaruhusiwa, lakini wake zao wanagoma kuletewa bi mdogo ndani
Inategemea sana na mke anaeletewa mwenzie ndani yukoje kama mie ili mradi naelewa ni jambo lipo katika dini yangu why mume wangu akazini nje kumbe ana uwezo wa kumuoa aoe tu namruhusu na ukiona mwanamke wa kiislam hakubali matha hii ujue dini yake mwenyewe inamshinda.
 
sasa nyie mnataka kuoa wengi ili muolewe, uwe unapiga chenga za kula huku na huku bila kutoa hela??? hela ya chakula ya nyumba 2 mnatoa wapi wakati nyumba moja yenyewe kitendawili. kibaya zaidi mnataka wanawake wawili wote wafanyakazi.

Yaani mam ukweli ni kwamba wengi wamekuwa hawajielewi dini inasema hivi ukiona una uwezo wa kuoa oa la huwezi funga kuepuka matamanio yako ila wengi wanajipa moyo ntaoa mana ni sawa na kuzaa watoto wengi katika familia kua kila mtoto anakuja na riziki ake ndo wanavodhani hata wake wengi ukioa kila mke huja na riziki ake jambao ambalo ni uongo na gum kama mme hayuko personally stable ni ngumu kuoa wake wengi (kama nitakua nimekuelewa mam)
 
Ili uweze kudumu na wake wawili
1. Ukishapanga ratiba marufuku kuibadili
2. Hakuna kufatilia wake zako we ridhika tu

Ndoa za dizaini hii mama ni zinahitaji mengi zaidi ya hayo ni kweli ukipanga ratiba usibadili ile je kuna mambo yatatokea kati ugonjwa au kitu chochote kile kitakachofanya zamu iingiliwe unadhani itakuaje hapo???

namba mbili nakubaliana nawe.
 
very true!!
Inawezekana kabisa hata wakiwa watatu, Ni jambo ambalo limeruhusiwa kisheria, hivyo linautaratibu wake. sio suala la kukurupuka. kabla hujaingia kwenye ndoa yoyote lazima ujue, ni yupi unayetakiwa kumuoa?

vigezo na masharti yapi yanatakiwa kuzingatiwa? sababu zinazokupelekea kuongeza mke? uwezo wa kutimiza mahitaji kwa wote? na mambo mengine mengi ukisoma mafundisho ya ndoa utaelewa vizuri.

Ila kama utakurupuka kwenye kuoa usitegemee kama utaweza hili, kwani kazi yake itakuwa kubwa hadi kuelewana. NB; Hii ni kwa mujibu wa mafundisho ya uislam, kwasababu ndio dini inayoruhusu jambo hili.
 
hakuna uwezekano kabsa, na ucjaribu. ucje ukawa pbm: poor brain man. acha hayo mawazo baki njia kuu

Uwezekano upo kwa 100% ni yy tu anatakiwa awe tayari kwa ndoa ya wake wawili means atawahudumia kwa kiwango sahihi bila kuzidisha huku wala kupunguza huku na kupenda sawiya kabisa vinginevyo aache afunge sunna tu
 
Back
Top Bottom