Unaweza?

Unaweza?

The Son

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
459
Reaction score
59
Ana m-support aliye-abort ujauzito wa kujitakia.
Anaonesha pia kuzijua local ways za ku-abort.
Unaweza kumuamini kuwa naye hajawahi ku-abort?
 
mtu anaye abort hana tofauti na terrorist..........
inawezekana akawa amejifunza tu mahali lakini yeye mwenyewe hajawahi fanya hicho kitu ingawa ni kwa asilimia chache sana.
 
Ana m-support aliye-abort ujauzito wa kujitakia.Anaonesha pia kuzijua local ways za ku-abort.Unaweza kumuamini kuwa naye hajawahi ku-abort?
kuna kusimuliana banaa, si kila anayejuwa kitu kimemtokea yeye...
 
inawezekana mbona mbona mambo mengi watu wanafanya kwa experience walioona kwa wenzao,au from any source of information.
 
Back
Top Bottom