Unaweza Ukatoa Pesa Na Usipate

Huu uzi wanaume wasio na pesa wamekasirika…!!😹😹

Kwahiyo tusiwasifie?
Acheni ubwege tutawasifia na pesa mtatoa, najua wewe mleta uzi umelizwa huko ndiomana unajilalamisha km mtoto wa kufikia kanyimwa andazi…! Em troka usituharibie mababe zetu 😏😹
 
Hao wasio na matatizo watakukubali na matatizo yako??
Mwanaume kaumbiwa kumsaidia mwanamke otherwise u date mwanaume mwenzio wote mtafute pesa za kutatua matatizo yenu…😏
 
Wewe sikulaumu bado una machungu ya ndoa ndiomana bado haujarikava..! 😹

Pesa kutupa chooni sio sahihi…!!
 
Nyie Wanaume wa saridalamu ndiyo zenu kila siku kulialia mnatapeliwa na wanawake. Mbona huku mikoani huo utapeli wao hatuuoni?
Halafu kama uko Dar na ngazi ya mshahara wako ni TGS sijui ngapi kaa mbali na wanawake la sivyo kulialia hakutakwisha.
Igweeeeeeeeeeee 🫡
Wakupe uenyekiti uwaongoze hawa nyumbu..!! 😹
 
Piga puli asubuhi sana kabla ya kwenda kwenye mishe zako. Utanushukuru mno. Shobo shobo kwa mademu zitakatika zenyewe njaa ya K inapotea automatically

Nimefanya hivyo mwaka jana na nimenunua kiwanja.

Najuta mno kuchelewa kulijua hilo.
 
Ukihurumiwa kupewa utakutana na bwawa la mindu ama pwiya
 
Katika viumbe wa kuwaogopa ni hao wadada wanaojifanya wana care sana, huwa ni mtego wa kukuingiza kwenye mfumo, hao unaishi nao kama vile umelala na jirani mwenye panga, kuwa macho muda wote.
 
Hao wasio na matatizo watakukubali na matatizo yako??
Mwanaume kaumbiwa kumsaidia mwanamke otherwise u date mwanaume mwenzio wote mtafute pesa za kutatua matatizo yenu…😏
Hamuwezi wote kuwa magari mabovu, lazima ubalance,
Una date vipi na mwanamke anamatatizo kuliko yatima?
 
100% umenielewa.
 
Piga puli asubuhi sana kabla ya kwenda kwenye mishe zako. Utanushukuru mno. Shobo shobo kwa mademu zitakatika zenyewe njaa ya K inapotea automatically

Nimefanya hivyo mwaka jana na nimenunua kiwanja.

Najuta mno kuchelewa kulijua hilo.
Halafu ukiwa chumbani upige kamoja igome kunyanyuka iwe kama utambi uanze kusingizia mwanamke hana hamshaamsha

Endelea kujichua siku yako yaja saivi si unajionea raha tu
 
Halafu ukiwa chumbani upige kamoja igome kunyanyuka iwe kama utambi uanze kusingizia mwanamke hana hamshaamsha

Endelea kujichua siku yako yaja saivi si unajionea raha tu
Haaaa.
Kula Vizuri Dona mboga za majani na Matunda.
Poi Zingatia unywaji wa maji Fanya kazi zitakazo kufanya utoe Jasho.
 
We Pesa lazima uwe na makini na Hawa Dada Zetu sio Poa Utaliwa na Chup haivuki.. Kuna watu ni Bahiri Hata 100 upati, Unajua Uchangu wa Kutafuta pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…