Hao wasio na matatizo watakukubali na matatizo yako??Narudia tena, usitembee na mwanamke anayekuzidi matatizo.
Ila kuna muda sisi wenaume tunatengeneza matatizo kwa kulazimisha, mdada ashakwambia hakutaki ila wewe sasa kujifanya sisimizi ufie juu ngozi lazima ule invoice.
Fanya vilivyo ndani ya uwezo wako sio kujitutumua.
Ficha sana kiwango na vyanzo vyako vya hela dhidi yao
Wewe sikulaumu bado una machungu ya ndoa ndiomana bado haujarikava..! 😹Moja ya somo nimekuja kujifunza late ni kuwa "heshimu sana na zipende sana pesa zako. Mtu ambaye haziheshimu hela zako, automatically hawez kukuheshimu wewe. Mtu ambaye hazionei uchungu pesa zako wala kuziogopa, hawez kukuogopa wala kukuheshimu wewe. Poteza kila kitu usipoteze pesa yako. Ipende na uithamini sanaa pesa zako, bora ukazitupe chooni ila sio mjinga mmoja kuja kukuchomoa pesa akiwa anajua wewe ni mjinga flan hiv utampa tu pesa vile anajiskia"
😅😅
Igweeeeeeeeeeee 🫡Nyie Wanaume wa saridalamu ndiyo zenu kila siku kulialia mnatapeliwa na wanawake. Mbona huku mikoani huo utapeli wao hatuuoni?
Halafu kama uko Dar na ngazi ya mshahara wako ni TGS sijui ngapi kaa mbali na wanawake la sivyo kulialia hakutakwisha.
Ukihurumiwa kupewa utakutana na bwawa la mindu ama pwiyaHasara au Kupoteza.
Mapenzi ni Biashara, sasa inatakiwa uwe makini unawekeza wapi.
Maana Hawa Ndugu Zetu wapo After money, ukimsemesha tu anataka Pesa, Sasa kwenye hiyo pesa unayotoa kumpa Jua hiyo ni Kamali, unaweza ukaliwa na usione ndani.
Ukiona mwanamke anakusifia unaejielewa Jua unaliwa Fedha au unatumika Vizuri katika kutatua matatizo yake ya Kiuchumi. Mwanamke akiona hauendi kama anavyotaka yeye kukutumia kwa Faida zake atakuita majina Megi, mara Bahiri ujielewi na Mengine mengi.
Pia Kuna kitu cha Kutazama Kwenye pesa ambazo tunawekeza katika mapenzi, unaweza Sema ni pesa ndogo. Katika Maisha hakuna pesa ndogo.
Kama kazini au Kwenye Biashara wote mnafanya kazi Moja au shughuri Moja na Kipato ni sawa au kakuzidi ukimtongoza tu umejipa mzigo wa Kiuchumi, na mzigo huo unaojipa Kuna kua na Kamali ndani yake, upate au ukose
Na wanawake ni wajanja kwanza na kuanza yeye anatazama Faida kwanza, anaomba pesa na kutangaza shida zake, Tayari wewe ushakua kama Ajira kwake au Sehemu ya kuingizia pesa.
Uku makazini wanawake wanaongoza sana kuomba, Breakfast na Lunch, mkianza maongezi ya simu pesa za Vocha na nauli ya kazini. Kama mwanamke anamiliki gari atakuomba 50K au 30k ya mafuta ya gari. Kiuhalisia Wanawake hawafanyi jambo kwa kupoteza ila wanafanya kwa Faida zaidi.
Unapotoa Pesa zako lazima uwaze kwanza kua unachofanya kitafanikiwa au unapoteza hata kama ni shilingi 100 je utafanikiwa unachotaka au unapoteza.
😂😂😂Wewe sikulaumu bado una machungu ya ndoa ndiomana bado haujarikava..! 😹
Pesa kutupa chooni sio sahihi…!!
Katika viumbe wa kuwaogopa ni hao wadada wanaojifanya wana care sana, huwa ni mtego wa kukuingiza kwenye mfumo, hao unaishi nao kama vile umelala na jirani mwenye panga, kuwa macho muda wote.Sikuhizi baadhi ya wadada wamekua wajanja, ulijifanya huwatongozi, watajileta wenyewe watakupa attention, kidume utanasa ukidhani unapendwa, invoice ndo zinaanza..
Unaeza sema unapigwa invoice nyingi zisizo na maana sababu hutakiwi, ila unajiuliza mbona huyu mtu anaonesha ishara zote za kutaka kuolewa na mimi Quencher Tman900
Hamuwezi wote kuwa magari mabovu, lazima ubalance,Hao wasio na matatizo watakukubali na matatizo yako??
Mwanaume kaumbiwa kumsaidia mwanamke otherwise u date mwanaume mwenzio wote mtafute pesa za kutatua matatizo yenu…😏
100% umenielewa.Moja ya somo nimekuja kujifunza late ni kuwa "heshimu sana na zipende sana pesa zako. Mtu ambaye haziheshimu hela zako, automatically hawez kukuheshimu wewe. Mtu ambaye hazionei uchungu pesa zako wala kuziogopa, hawez kukuogopa wala kukuheshimu wewe. Poteza kila kitu usipoteze pesa yako. Ipende na uithamini sanaa pesa zako, bora ukazitupe chooni ila sio mjinga mmoja kuja kukuchomoa pesa akiwa anajua wewe ni mjinga flan hiv utampa tu pesa vile anajiskia"
😅😅
Halafu ukiwa chumbani upige kamoja igome kunyanyuka iwe kama utambi uanze kusingizia mwanamke hana hamshaamshaPiga puli asubuhi sana kabla ya kwenda kwenye mishe zako. Utanushukuru mno. Shobo shobo kwa mademu zitakatika zenyewe njaa ya K inapotea automatically
Nimefanya hivyo mwaka jana na nimenunua kiwanja.
Najuta mno kuchelewa kulijua hilo.
Haaaa.Halafu ukiwa chumbani upige kamoja igome kunyanyuka iwe kama utambi uanze kusingizia mwanamke hana hamshaamsha
Endelea kujichua siku yako yaja saivi si unajionea raha tu
Na wenzako walijiona wamepata kumbe wamepatikanaHaaaa.
Kula Vizuri Dona mboga za majani na Matunda.
Poi Zingatia unywaji wa maji Fanya kazi zitakazo kufanya utoe Jasho.
We Pesa lazima uwe na makini na Hawa Dada Zetu sio Poa Utaliwa na Chup haivuki.. Kuna watu ni Bahiri Hata 100 upati, Unajua Uchangu wa Kutafuta pesa.Huu uzi wanaume wasio na pesa wamekasirika…!!😹😹
Kwahiyo tusiwasifie?
Acheni ubwege tutawasifia na pesa mtatoa, najua wewe mleta uzi umelizwa huko ndiomana unajilalamisha km mtoto wa kufikia kanyimwa andazi…! Em troka usituharibie mababe zetu 😏😹
Kwaiyo mkuu kuna mahali nimesema napiga nyeto sioAcha nyeto una haribu mishipa ya Dusheeee