Afu asiogope ... ndiyo maisha yenyewe hayaYapo tokea enzi
Hudumia baba ama oaHaaa uhitaji wako ni Chance ya mwanamke kukutapeli kupitia mapenzi
Na tumepewa midomo tusemezaneAfu asiogope ... ndiyo maisha yenyewe haya
Wadada wanaujiuza wa daraja la kati na la juu ni bora zaidi, kwa sababu terms zinawekwa wazi (no hidden charges), mkikubaliana, transaction ya MAUTAMU na fedha inafanyika, later on mkizoeana na uko mwaminifu, kuna kuwa na ofa/ punguzo la beiHasara au Kupoteza.
Mapenzi ni Biashara, sasa inatakiwa uwe makini unawekeza wapi.
Maana Hawa Ndugu Zetu wapo After money, ukimsemesha tu anataka Pesa, Sasa kwenye hiyo pesa unayotoa kumpa Jua hiyo ni Kamali, unaweza ukaliwa na usione ndani.
Ukiona mwanamke anakusifia unaejielewa Jua unaliwa Fedha au unatumika Vizuri katika kutatua matatizo yake ya Kiuchumi.
Mwanamke akiona hauendi kama anavyotaka yeye kukutumia kwa Faida zake atakuita majina Megi, mara Bahiri ujielewi na Mengine mengi.
Pia Kuna kitu cha Kutazama Kwenye pesa ambazo tunawekeza katika mapenzi, unaweza Sema ni pesa ndogo. Katika Maisha hakuna pesa ndogo.
Kama kazini au Kwenye Biashara wote mnafanya kazi Moja au shughuri Moja na Kipato ni sawa au kakuzidi ukimtongoza tu umejipa mzigo wa Kiuchumi, na mzigo huo unaojipa Kuna kua na Kamali ndani yake, upate au ukose
Na wanawake ni wajanja kwanza na kuanza yeye anatazama Faida kwanza, anaomba pesa na kutangaza shida zake, Tayari wewe ushakua kama Ajira kwake au Sehemu ya kuingizia pesa.
Uku makazini wanawake wanaongoza sana kuomba, Breakfast na Lunch, mkianza maongezi ya simu pesa za Vocha na nauli ya kazini. Kama mwanamke anamiliki gari atakuomba 50K au 30k ya mafuta ya gari. Kiuhalisia Wanawake hawafanyi jambo kwa kupoteza ila wanafanya kwa Faida zaidi.
Unapotoa Pesa zako lazima uwaze kwanza kua unachofanya kitafanikiwa au unapoteza hata kama ni shilingi 100 je utafanikiwa unachotaka au unapoteza.
Nyie Wanaume wa saridalamu ndiyo zenu kila siku kulialia mnatapeliwa na wanawake. Mbona huku mikoani huo utapeli wao hatuuoni?Hasara au Kupoteza.
Mapenzi ni Biashara, sasa inatakiwa uwe makini unawekeza wapi.
Maana Hawa Ndugu Zetu wapo After money, ukimsemesha tu anataka Pesa, Sasa kwenye hiyo pesa unayotoa kumpa Jua hiyo ni Kamali, unaweza ukaliwa na usione ndani.
Ukiona mwanamke anakusifia unaejielewa Jua unaliwa Fedha au unatumika Vizuri katika kutatua matatizo yake ya Kiuchumi.
Mwanamke akiona hauendi kama anavyotaka yeye kukutumia kwa Faida zake atakuita majina Megi, mara Bahiri ujielewi na Mengine mengi.
Pia Kuna kitu cha Kutazama Kwenye pesa ambazo tunawekeza katika mapenzi, unaweza Sema ni pesa ndogo. Katika Maisha hakuna pesa ndogo.
Kama kazini au Kwenye Biashara wote mnafanya kazi Moja au shughuri Moja na Kipato ni sawa au kakuzidi ukimtongoza tu umejipa mzigo wa Kiuchumi, na mzigo huo unaojipa Kuna kua na Kamali ndani yake, upate au ukose
Na wanawake ni wajanja kwanza na kuanza yeye anatazama Faida kwanza, anaomba pesa na kutangaza shida zake, Tayari wewe ushakua kama Ajira kwake au Sehemu ya kuingizia pesa.
Uku makazini wanawake wanaongoza sana kuomba, Breakfast na Lunch, mkianza maongezi ya simu pesa za Vocha na nauli ya kazini. Kama mwanamke anamiliki gari atakuomba 50K au 30k ya mafuta ya gari. Kiuhalisia Wanawake hawafanyi jambo kwa kupoteza ila wanafanya kwa Faida zaidi.
Unapotoa Pesa zako lazima uwaze kwanza kua unachofanya kitafanikiwa au unapoteza hata kama ni shilingi 100 je utafanikiwa unachotaka au unapoteza.
Mi nipo Dukani naona wizi wao na utapeliNyie Wanaume wa saridalamu ndiyo zenu kila siku kulialia mnatapeliwa na wanawake. Mbona huku mikoani huo utapeli wao hatuuoni?
Halafu kama uko Dar na ngazi ya mshahara wako ni TGS sijui ngapi kaa mbali na wanawake la sivyo utavuta fasta.
Mh,aisee๐P,hh
Unahudumia kwa siku Bei Gani na kwa mwezi Bei Gani na kwa mwaka Bei gani Je, unanchopata kinaendana na uthamani wa pesa unayotoa, au Pesa ni nyingi sana Kuliko huduma.
KweliYapo tokea enzi
Sikuhizi baadhi ya wadada wamekua wajanja, ulijifanya huwatongozi, watajileta wenyewe watakupa attention, kidume utanasa ukidhani unapendwa, invoice ndo zinaanza..mdada ashakwambia hakutaki ila wewe sasa kujifanya sisimizi ufie juu ngozi lazima ule invoice.
Pesa yenyewe sasa, kama unakunywa ka-mvinyo, mharibifu ni wewe mwenyewe hizo PISI zinapata vichenji tuMoja ya somo nimekuja kujifunza late ni kuwa "heshimu sana na zipende sana pesa zako. Mtu ambaye haziheshimu hela zako, automatically hawez kukuheshimu wewe. Mtu ambaye hazionei uchungu pesa zako wala kuziogopa, hawez kukuogopa wala kukuheshimu wewe. Poteza kila kitu usipoteze pesa yako. Ipende na uithamini sanaa pesa zako, bora ukazitupe chooni ila sio mjinga mmoja kuja kukuchomoa pesa akiwa anajua wewe ni mjinga flan hiv utampa tu pesa vile anajiskia"
๐ ๐