Unaweza Ukatoa Pesa Na Usipate

Unaweza Ukatoa Pesa Na Usipate

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,065
Hasara au Kupoteza.

Mapenzi ni Biashara, sasa inatakiwa uwe makini unawekeza wapi.

Maana Hawa Ndugu Zetu wapo After money, ukimsemesha tu anataka Pesa, Sasa kwenye hiyo pesa unayotoa kumpa Jua hiyo ni Kamali, unaweza ukaliwa na usione ndani.

Ukiona mwanamke anakusifia unaejielewa Jua unaliwa Fedha au unatumika Vizuri katika kutatua matatizo yake ya Kiuchumi. Mwanamke akiona hauendi kama anavyotaka yeye kukutumia kwa Faida zake atakuita majina Megi, mara Bahiri ujielewi na Mengine mengi.

Pia Kuna kitu cha Kutazama Kwenye pesa ambazo tunawekeza katika mapenzi, unaweza Sema ni pesa ndogo. Katika Maisha hakuna pesa ndogo.

Kama kazini au Kwenye Biashara wote mnafanya kazi Moja au shughuri Moja na Kipato ni sawa au kakuzidi ukimtongoza tu umejipa mzigo wa Kiuchumi, na mzigo huo unaojipa Kuna kua na Kamali ndani yake, upate au ukose

Na wanawake ni wajanja kwanza na kuanza yeye anatazama Faida kwanza, anaomba pesa na kutangaza shida zake, Tayari wewe ushakua kama Ajira kwake au Sehemu ya kuingizia pesa.

Uku makazini wanawake wanaongoza sana kuomba, Breakfast na Lunch, mkianza maongezi ya simu pesa za Vocha na nauli ya kazini. Kama mwanamke anamiliki gari atakuomba 50K au 30k ya mafuta ya gari. Kiuhalisia Wanawake hawafanyi jambo kwa kupoteza ila wanafanya kwa Faida zaidi.

Unapotoa Pesa zako lazima uwaze kwanza kua unachofanya kitafanikiwa au unapoteza hata kama ni shilingi 100 je utafanikiwa unachotaka au unapoteza.
 
Hasara au Kupoteza.
Mapenzi ni Biashara, sasa inatakiwa uwe makini unawekeza wapi.
Maana Hawa Ndugu Zetu wapo After money, ukimsemesha tu anataka Pesa, Sasa kwenye hiyo pesa unayotoa kumpa Jua hiyo ni Kamali, unaweza ukaliwa na usione ndani.

Ukiona mwanamke anakusifia unaejielewa Jua unaliwa Fedha au unatumika Vizuri katika kutatua matatizo yake ya Kiuchumi.
Mwanamke akiona hauendi kama anavyotaka yeye kukutumia kwa Faida zake atakuita majina Megi, mara Bahiri ujielewi na Mengine mengi.

Wadada wanaujiuza wa daraja la kati na la juu ni bora zaidi, kwa sababu terms zinawekwa wazi (no hidden charges), mkikubaliana, transaction ya MAUTAMU na fedha inafanyika, later on mkizoeana na uko mwaminifu, kuna kuwa na ofa/ punguzo la bei
 
Hasara au Kupoteza.
Mapenzi ni Biashara, sasa inatakiwa uwe makini unawekeza wapi.
Maana Hawa Ndugu Zetu wapo After money, ukimsemesha tu anataka Pesa, Sasa kwenye hiyo pesa unayotoa kumpa Jua hiyo ni Kamali, unaweza ukaliwa na usione ndani.

Ukiona mwanamke anakusifia unaejielewa Jua unaliwa Fedha au unatumika Vizuri katika kutatua matatizo yake ya Kiuchumi.
Mwanamke akiona hauendi kama anavyotaka yeye kukutumia kwa Faida zake atakuita majina Megi, mara Bahiri ujielewi na Mengine mengi.

Pia Kuna kitu cha Kutazama Kwenye pesa ambazo tunawekeza katika mapenzi, unaweza Sema ni pesa ndogo. Katika Maisha hakuna pesa ndogo.

Kama kazini au Kwenye Biashara wote mnafanya kazi Moja au shughuri Moja na Kipato ni sawa au kakuzidi ukimtongoza tu umejipa mzigo wa Kiuchumi, na mzigo huo unaojipa Kuna kua na Kamali ndani yake, upate au ukose

Na wanawake ni wajanja kwanza na kuanza yeye anatazama Faida kwanza, anaomba pesa na kutangaza shida zake, Tayari wewe ushakua kama Ajira kwake au Sehemu ya kuingizia pesa.
Uku makazini wanawake wanaongoza sana kuomba, Breakfast na Lunch, mkianza maongezi ya simu pesa za Vocha na nauli ya kazini. Kama mwanamke anamiliki gari atakuomba 50K au 30k ya mafuta ya gari. Kiuhalisia Wanawake hawafanyi jambo kwa kupoteza ila wanafanya kwa Faida zaidi.

Unapotoa Pesa zako lazima uwaze kwanza kua unachofanya kitafanikiwa au unapoteza hata kama ni shilingi 100 je utafanikiwa unachotaka au unapoteza.
Nyie Wanaume wa saridalamu ndiyo zenu kila siku kulialia mnatapeliwa na wanawake. Mbona huku mikoani huo utapeli wao hatuuoni?
Halafu kama uko Dar na ngazi ya mshahara wako ni TGS sijui ngapi kaa mbali na wanawake la sivyo kulialia hakutakwisha.
 
Nyie Wanaume wa saridalamu ndiyo zenu kila siku kulialia mnatapeliwa na wanawake. Mbona huku mikoani huo utapeli wao hatuuoni?
Halafu kama uko Dar na ngazi ya mshahara wako ni TGS sijui ngapi kaa mbali na wanawake la sivyo utavuta fasta.
Mi nipo Dukani naona wizi wao na utapeli
Daaa watu wanahudumia na k wanaona kwa manati.
 
Moja ya somo nimekuja kujifunza late ni kuwa "heshimu sana na zipende sana pesa zako. Mtu ambaye haziheshimu hela zako, automatically hawez kukuheshimu wewe. Mtu ambaye hazionei uchungu pesa zako wala kuziogopa, hawez kukuogopa wala kukuheshimu wewe. Poteza kila kitu usipoteze pesa yako. Ipende na uithamini sanaa pesa zako, bora ukazitupe chooni ila sio mjinga mmoja kuja kukuchomoa pesa akiwa anajua wewe ni mjinga flan hiv utampa tu pesa vile anajiskia"
😅😅
 
Umeandika vizuri sana ila vyovyote ilivyo mapenzi yanaumiza mno🙌
 
Narudia tena, usitembee na mwanamke anayekuzidi matatizo.

Ila kuna muda sisi wenaume tunatengeneza matatizo kwa kulazimisha, mdada ashakwambia hakutaki ila wewe sasa kujifanya sisimizi ufie juu ngozi lazima ule invoice.
Fanya vilivyo ndani ya uwezo wako sio kujitutumua.
Ficha sana kiwango na vyanzo vyako vya hela dhidi yao
 
mdada ashakwambia hakutaki ila wewe sasa kujifanya sisimizi ufie juu ngozi lazima ule invoice.
Sikuhizi baadhi ya wadada wamekua wajanja, ulijifanya huwatongozi, watajileta wenyewe watakupa attention, kidume utanasa ukidhani unapendwa, invoice ndo zinaanza..

Unaeza sema unapigwa invoice nyingi zisizo na maana sababu hutakiwi, ila unajiuliza mbona huyu mtu anaonesha ishara zote za kutaka kuolewa na mimi Quencher Tman900
 
Moja ya somo nimekuja kujifunza late ni kuwa "heshimu sana na zipende sana pesa zako. Mtu ambaye haziheshimu hela zako, automatically hawez kukuheshimu wewe. Mtu ambaye hazionei uchungu pesa zako wala kuziogopa, hawez kukuogopa wala kukuheshimu wewe. Poteza kila kitu usipoteze pesa yako. Ipende na uithamini sanaa pesa zako, bora ukazitupe chooni ila sio mjinga mmoja kuja kukuchomoa pesa akiwa anajua wewe ni mjinga flan hiv utampa tu pesa vile anajiskia"
😅😅
Pesa yenyewe sasa, kama unakunywa ka-mvinyo, mharibifu ni wewe mwenyewe hizo PISI zinapata vichenji tu
 
Back
Top Bottom