Kwa lipi?
Nima sana tatizo lake kubwa ni kumaliza nguvu za kiume tu...yaani dushe linakua haliko strong..penis musicular weaknessA.k.a Fuuuuuull Handaaaas bro.
*nomaNima sana tatizo lake kubwa ni kumaliza nguvu za kiume tu...yaani dushe linakua haliko strong..penis musicular weakness
Veve a.k.a shamba a.k.a giza a.k.a kijiti a.k.a michemicheWanaita gomba a.k.a miraa a.k.a mirungi a.k.a ...
Ila handas ya veve yakiduanzi kinoma.. Unaeza kuta umeshikilia simu mkononi ila unaitafuta na unajua ushaipoteza.
Unafanya kujisachi unahisha mkono unajisachi daah mpaka stimu inakata unajua umeshapoteza simu..
Kuja kushtuka ni pale inapopigwa unashangaa simu inaitia mkononi. Hapo ndio unajua kweli handas imefika mahali yake.
Ni kwikwi bablaiIla handas ya veve yakiduanzi kinoma.. Unaeza kuta umeshikilia simu mkononi ila unaitafuta na unajua ushaipoteza.