Mr. BK
Member
- Aug 6, 2014
- 99
- 35
Kama una hasira za karibu unaweza ukapiga ukaua
Mwalimu:kwanini umechelewa kuja shuleni?
Mwanafunzi:kuna mzee alidondosha hela,ndio aliyenichelewesha.
Mwalimu:safi sana,kwahiyo ukawa unamsaidia kutafuta hela yake,wanafunzi wote inabidi muwe na moyo kama wa mwenzenu,inabidi mjitolee kwa wale wanaohitaji misaada kutoka kwenu.
Mwanafunzi:Hapana hela yenyewe nilikuwa nimeikanyaga sasa nilikuwa namsubiri aondoke ili niiokote.