Unaweza ukajipatia Ajira...!!!

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
2,181
Reaction score
410
Ni wazi kwamba unaweza kujipatia ajira kwenye makampun ya simu, kama utaweza hili swali...

How many 5 digit telephone number can be constructed using the digit 0 to 9 if each number start with 67, for example 67125 etc, and no digit appears more than once??

Haya sasa bro BAGAH, ERICK B52, kimbilieni, najua KONIE Kipawa nyanja hizi...
 
Dogo naona unataka kutuaibisha kaka zako....
Ngoja kwanza tujadiliane ni mara ngapi....
Nakuja
 
Dogo naona unataka kutuaibisha kaka zako....
Ngoja kwanza tujadiliane ni mara ngapi....
Nakuja

Mbona hurudi bro, hujui tigo wanatizama mchakato watoe ajira...
 
dah hesabu zako ngumu ngoja nikaandike desa af nirudi
 
Unamaanisha katika namba moja digit isijirudie au katika namba zote 5 digit isijirudie?anyway ngoja nitry..
67243, 67510, 67891, 67352, 67438..
 
Mbona hurudi bro, hujui tigo wanatizama mchakato watoe ajira...

Hahahaahaha calculator yangu ilileta noma....nkaamua kulala...
Nikikomaa halafu nisipate kazi nakumaliza dogo
 
Unamaanisha katika namba moja digit isijirudie au katika namba zote 5 digit isijirudie?anyway ngoja nitry..
67243, 67510, 67891, 67352, 67438..

ndio namba isijirudie, ni hvohvo mkuu bt how many arrangement will be??
 
Hahahaahaha calculator yangu ilileta noma....nkaamua kulala...
Nikikomaa halafu nisipate kazi nakumaliza dogo

BAGAH hapiti kabisa njia hii? Au anachungulia na kusepa?
 
Utuumize vichwa halafu hata hio ajira hamna, uongo uongo.
Humpati mtu apa
 
FIVE POSITION TO BE COVERED
let say ¤ ¤ ¤ ¤ ¤
if the 1st position is covered by 6 and 2nd by 7, then 3rd will be covered by 8 digit, 4th by 7 digit and 5th by 6 digit , then we multiply those position, ie

1x1x8x7x6=336

there will be 336 arrangement...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…