Dit000
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 723
- 1,091
Inasemekana kwamba ili unase mfereji wa fedha lazima urisk moja au vyote ya vifuatavyo
Unapowekeza muda mfano kusoma shule, kujifunza skills tofautitofauti kunaweza kusaidia kupata FEDHA
Unapohatarisha uhai wako kwa ajili ya kazi flani mfano KUIBA, magendo kunaweza saidia kupata FEDHA
Unapotumia fedha kurisk kwa jambo flani ili upate fedha nyingi zaidi kunaweza kukufanya kuwa tajili
je unaweza usirisk kituchochote na ukapata FEDHA???
- MUDA(TIME)
- UHAI(breath of life)
- MONEY