Unaweza sema Mwakinyo ana msimamo, lakini tusisahau ni mtu wa visababu sababu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,019
"Ooh nimeshindwa kumpiga knockout sababu bukta yangu ilikuwa imenibama"

"Ooh viatu vyangu vilipotea airport"

Na mengine mengi mnayoyajua.

Jamaa hata ongea yake na media ni mtu wa lawama sana, kujiweka katika njia ya kutupokea lawama yoyote ya jambo huku akitengeneza maneno ya kuomba watanzania wamemuhurumie.

Sikatai systems za mambo mengi hapa bongo ni mbaya, sasa hii ndio jamaa anatumia kama mgongo kulazia mazaifu yake hata kama yeye ndio amezingua.

Kwa mtu alie deep ndio ataelewa udhaifu wa mwakinyo, ukiwa "easily carried" utaona mwakinyo hanaga kosa lolote kutokana na ufundi wake wa kupana maneno ya kujihurumisha.
 
Kwani huyo Mwakinyo ni Bondia.?

Toka nimjue naona ni msaani tu anapenda kutrend kwenye media kwa visababu visivyohusiana na ndondi...?

Sasa kaamua kutafuta trend kwa kukacha pambano..... anajipa Kazi nyingine ya Upromota..!

Aamue moja tu
Aidha 'ndonga au kuwa Promota' au ahamie kwenye mipasho. Watu wa Tanga wana asili ya taarabu
 
"Ooh nimeshindwa kumpiga knockout sababu bukta yangu ilikuwa imenibama"

"Ooh viatu vyangu vilipotea airport"

Na mengine mengi mnayoyajua.

Jamaa hata ongea yake na media ni mtu wa lawama sana, kujiweka katika njia ya kutupokea lawama yoyote ya jambo huku akitengeneza maneno ya kuomba watanzania wamemuhurumie.

Sikatai systems za mambo mengi hapa bongo ni mbaya, sasa hii ndio jamaa anatumia kama mgongo kulazia mazaifu yake hata kama yeye ndio amezingua.

Kwa mtu alie deep ndio ataelewa udhaifu wa mwakinyo, ukiwa "easily carried" utaona mwakinyo hanaga kosa lolote kutokana na ufundi wake wa kupana maneno ya kujihurumisha.
ni mjinga na mshamba. mwacheni abaki ivo ivo.
 
Jana nmesikiliza interview ya PAF aisee Mwakinyo ni mshenzi sana, anatafta mabondia mwenyewe then anaweka cha juu, hataki bondia wa kupangiwa anataka anae muweza mbaya zaidi anataka apange yeye watakao pigana supporting fights
 
Anataka pambano litakalomuweka kwenye viwango na sio kumshusha.
 
Back
Top Bottom