Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,974
- 8,116
Ukiwa na migahawa kama ya Starbucks kwa kuuza beverages mpaka uswazi unaweza toboa
Za kuwa Billionaire ni zipi??Mkuu are you billionea, hizi hazikufanya huwe bilionea hata siku moja
Jaribu kufuatilia walio tumia izo falsafa waliishia kuwa ordinary people,
Wewe uko sahihi kabisa.mabilionea hawana muda wa kufanya ninachofanya.Ila mimi ambaye nataka kuwa bilionea inabidi nifanye hiki ninachofanya.Sidhani kama kuna ubaya katika hiloMleta mada ungekua bilionea sidhani Kama ungekuja hapa na hayo maneno yako mabilionea wako busy na biashara zao
Kwa hyo tuseme unawaonea huruma watanzania ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Apo sawa...Sasa twambie Ni kipi uko focused nacho ili uwe bilionea Apo badae ..?Wewe uko sahihi kabisa.mabilionea hawana muda wa kufanya ninachofanya.Ila mimi ambaye nataka kuwa bilionea inabidi nifanye hiki ninachofanya.Sidhani kama kuna ubaya katika hilo
Billionaire uliuzungumzia wa kuwa na 1B in Tzs Kwani bado ujaufikiaWewe uko sahihi kabisa.mabilionea hawana muda wa kufanya ninachofanya.Ila mimi ambaye nataka kuwa bilionea inabidi nifanye hiki ninachofanya.Sidhani kama kuna ubaya katika hilo