Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,830
- 6,459
Leo naleta mjadala tata.Mjadala ambao watu wengi ama watauelewa au watachanganyikiwa.Mjadala huu unahusu uwezekano(Probability) ya Mtu kuwa Bilionea.Nimeonelea niweke hili neno Probability ili wote tujue kwamba hakutakuwa na maana kama wote tutakuwa mabilionea kwani ubilionea utakuwa sawa na ulakionea(my word) au usentionea(mine too)
Kwa ajili ya mjadala huu Bilionea ninayetaka uwe ni Bilionea wa SHilingi za Kitanzania.Tuachane na hao wakina Jeff Bezos na Elon Musk.Ufuatao ni mwongozo mdogo wa kukusaidia kuwa Bilionea:
Hatua ya kwanza badili namna yako ya kufikiri(Change your mindset)
Ili uwe bilionaire ni lazima kwanza ubadilishe mindset yako(Namna yako ya kufikiri na kutazama mambo)Kwa mfano.Kikombe cha chai ya maziwa kinauzwa TZS 300 so ili uwe bilionea kwa kuuza kikombe cha chai inabidi uuze angalau vikombe milion 3 na laki tano.Tanzania ina zaidi ya watu milioni 50 so ukiweza kuwauzia chai watu milioni 3.5 tu wewe unakuwa ni bilionea.Ukiweza kuelewa na kurelate huu mfano basi kuna kauwezekano ka wewe kuwa Bilionea
Hatua ya pili ni kuwa na malengo makubwa(Think Big)
Hii hatua ya pili inaenda sambamba na ya kwanza kwani inahusisha namna yako ya kufikiri.Usifikiri utakula nini,utavaa,utalala wapi.Hayo ni mambo madogo kwa mtu ambaye anataka kuwa bilionea.Kama unafikiri kwamba hayo ni mambo muhimu kwako basi wewe hujafikia kiwango cha kuweza kuwa bilionea.Iko hivi.Ukiwa na fikra kubwa unawaza Watanzania watakula nini,dunia itakula nini,itavaa nini,italala wapi.Utakuwa unawaza kutatua changamoto za dunia.Changamoto zako zitakuwa ni changamoto za dunia.Kama ubongo wako umejikita katika kutatua changamoto zako tu basi hujafikia kiwango cha kuwa Bilionea inabidi ubadilike.Anza kwa kutafuta suluhu ya matatizo ya mtaa wako au ukoo wako uyatafutie suluhu.
Usitafute Kupendwa wala usipoteze muda na watu wasiokuelewa
Unapoanza safari ya kutafuta kuwa bilionea utakutana na kukataliwa kwingi,kudharaulika na hata kutukanwa na kubezwa.Ukianza kuinuka utapata maadui wengi na wanafiki wengi ambao watakuwa wanajipendekeza kwako.Utakutana na watu ambao watakupa sifa kedekede mpaka ufikiri kwamba ushayapatia maisha na utakutana watu ambao watakukatisha tamaa.Utashindwa katika miradi na shughuli nyingi sana na kujikuta unaanguka mara nyingi.Yaani kwa ufupi(Do no GIVE a SHit about Nobody)You live once and Day once so you may as well Die while wanking.Live you life.
Think Deep(Fikiri sana tena kwa umakini)
Sasa hapa msichanganye Analysis paralysis na deep thinking.Ukifikiri vizuri na kwa umakini success rates wakati wa execution inakuwa kubwa.So thinking inatakiwa iwe ni your way of life.Think before execution,Think during execution and Think after execution.Whatever you do make it a habit to put your ideas into writing and test them in the market by speaking to potential client.If one person buys it then you have a business.
If you would like to learn more about how to become a bilionaire (The joy is in the process) Then take time to contact us and start your journey of becoming a bilionaire and Probably you may become one.
JIPE MOYO kisha ututatufute kwa EMAIL masokotz@yahoo.com ili ufahamu ni lini tunawakutanisha watu wenye mitaji midogo na ideas kubwa au watu wenye ideas kubwa na wenye mitaji. Kumbuka unaweza kuwa mmoja wa mabilionea kama ukiamua.YES Drop that email or inbox me and lets start to work toward your dream and GOALS
Karibu sana:
EMAIL masokotz@yahoo.com