Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,992
- 31,695
Mkuu tukiendelea kuleana na vyama vya wachumia tumbo tusahau kuitoa madarakani ccm na tunavyo changanya vyama vingine kwenye majimbo yetu kuna kuwa na mawazo mapya ambayo yatasaidia kulipeleka taifa mbeleKwanini?