LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,727
- 13,466
Wakuu hebu jichukulie ndio wewe x boy wako or x girl wako anakuletea kadi ya mchango wa harusi kuwa anaoa au kuolewa
Utamchangia?
[emoji115]
Nimeona niweke hiyo mada sababu kuna binti nlisoma nae , alikuwa girl wangu na kipindi chote hakuwahi kunipa hata mechi moja, then kampata jamaa yake huko ananiletea kadi nimchangie inawezekana kweli?
Fanya kuvaa viatu vyangu hebu jichukulie ni wewe