Unaweza kutengeneza Story nzuri kutokana na hizi picha?

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,371
33,019
Kwa tunaopenda story hebu tutengeneze story nzuri kutokana na hizi picha za kijini kwetu
IMG_20190126_122846.jpg
IMG_20190126_122912.jpg
IMG_20190126_122941.jpg
IMG_20190126_123001.jpg
IMG_20190126_123050.jpg
IMG_20190126_123108.jpg
IMG_20190126_123128.jpg
IMG_20190126_123150.jpg
 
Kutoka juu kwenda chini...
Pic #1
Siku ya kwanza nakuona, I couldn't believe my eyes. You where such a beautiful creature I have ever seen in the entire world. Niliduwaa kwa muda moyo macho mdomo na mwili wangu kiujumla ulitambua nmeona kitu kizuri na kweli nimekipenda. Japo haikuwapo nguvu iliyosalia mwilini wangu lakini nilipata nguvu kidogo ya kukuita, kisha kukufuata

Pic #2
Nashukuru ulinipa nafasi ya kunisikiliza, kwa utulivu, upendo na u pole wako hakika nmepata mke mwema. Nakumbuka maongezi yetu ya kwanza nilipojitambulisha kwako, nikaeleza yote toka chini ya uvungu wa moyo wangu. Hakika usikivu wako uliniteka nafasi.

Pic #3
Nilivyokuambia nakupenda hakika nilimaanisha.
Na kuonyesha niko serious pete nikakuvalisha.
Kwa tabasamu la bashasha.
"Yes I do" kwa sauti ulithibitisha.

Pic #4
Safari yetu ya mapenzi ilianzia hapo. Nipe nikupe tuligandana kama kupe. Penzi kama maua kweli lilichanua.

Pic #5
Kama mume nilisimama, familia yangu kuiongoza. Hakika maisha yetu yamekua ya furaha.

Pic #6
Kwa pamoja tulisaidiana kuijenga familia yetu. Kidole kimoja hakivunji chawa.

Pic #7
Zaidi ya mke umekua rafiki kwangu, umekua mtoto wangu (my baby). Kila dakika, kila saa umekua wa kunifaa.

Pic #8
Kula nanasi hakuhitaji mwendo kasi, wapendanao ndio sisi tupeni nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umetisha. Nakushauri uwahi kuweka hatimiliki ya haya mashairi kabla vijana wa fb hawajayaiba. Kama unaweza kuimba ingia studio
 
Sio za kuchora hizo mkuu.

Ni picha mzuri sana. Zimepigwa kiufundi na zimechukua mandhari asilia ya nchi husika!! Je inaweza Kuwa Bongo? Nimewapenda vijana hao jinsi walivyokuwa natural ; maisha ya kijijini hayana complications. Hakuna stress za kulipia saloon wala kwenda dinner kwenye hotel kubwa kubwa!!
 
Back
Top Bottom