Unaweza kusimama hapa?

Hata kwa mtutu sisimami,kifo kije tu lakini kukitafuta No!
 
Inahitaji kuwa na moyo wa mwendawazimu
 
Weeee koma weeee nani asimame hapo ugali kwa chumvi unanoga bana...
 
Hao walosimama mbona hawadondoki? Ila kihoro chake unaweza ukajidondosha mwenyewe

Hapo mi naweza kusimama bila shida....ila kama kweli si jasiri utajipeleka down mwenyewe.
 
Sio hapo wewe!
Roho haina spare!!!!

We hujui kuwa mimi ni kidume nisiyeogopa chochote?
Hapo mbona pa kawaida tu na nitakupelkeka na utarudi salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…