Unaweza kupanda hili?

Hadi imefikia kutumika hapo kwenye public viwngo vimefikiwa, likitokea ni bahatimbaya sana ambayo inaweza kukukuta popote, hivyo basi kwa upandewangu napanda tu bila shida
 
Last edited by a moderator:
HII napanda tena huwa tamu sana inaamsha mwili....huwa inaleta msisimko wa mwili nafikiri tunaopenda haya mavitu, naposema msisimko tupo pamoja.
 
mie napenda sana ipo wapi hiyo niifate huko niliko niongeze rekodi yangu pls. I love adventures
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…