Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,196
MTIHANI HUO MKUBWA WENGI WATAFELI HAPO...
I was exactly answering the same. Sema sikuwa na uhakika Sana na Joachim ChisanoMkuu hao ni viongozi wa Nchumbiji kushoto ni Marehemu Rais Samora Machel na kulia Rais mstafu Joachim Chisano.
Very simple Question.
Mhe Chisano nae muangalie vizuri hasa style yake ya ndevu mpaka leo anaweka huo mtindoSamora machel...ndo ninauhakika nae"