Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,849
Wana JF.
Napenda kupata maoni na mawazo mbali mbali toka kwenu, unaweza kumsomesha mchumba wako wa kike for instance, chuo cha ualimu au Nursing? hawezi kukusaliti baadae akisha pata kazi au akiwa huko?
Huwa nasikia kuwa kuna watu wengi sana walishatendwa wakati au baada ya kusomesha.
Maoni yako ni muhimu sana hapa.