Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 553
Ahsante kheri yako wewe uliyesoma kwa bidiiUandishi wako tu unaonesha wewe ni jipu..
Ahsante nashukuru kwa ushauri wako.Mwambie asonge mbele.
Madem wapo wengi wakali.... Na wanautelezi wa kutosha mnahangaika na jiko la jela kilaukuni unaingia jiko lishakua kavu hata ulimwagie maji haliloaniHabari poleni kwa majukumu mimi nna rafiki yangu huku jamaa kampenda dada akaongea naye wakakubaliana ilihali imepita wiki tatu rafiki yangu ilibidi aombe penzi dada ana mtoto hivyo shida anamuambia jamaa naomba ela ya matumizi ya kula kama kawaida anampatia, siijala.
Ila jamaa akimuita waonane waongee dada bado anampanga kama anamkwepa jamaaa kilichotokea dada kamwambia siku fulani huku jamaa akijua watatoka pamoja muda unakwenda kumbe kamlaghai dah.
Ilipofika siku hiyo dada kamwambia kipato chako kidogo hivyo sitaweza kuwa na wewe na ujitoshelezi jamaa kabaki kwenye mshangao,hivyo ushauri unahitajika ahsante ni hayo tu.
Bwana Nickson, pole sana. Huyo mwanamke muache tu, maana atakuua kwa stress, ona hata kuandika unapata kazi.Habari poleni kwa majukumu mimi nna rafiki yangu huku jamaa kampenda dada akaongea naye wakakubaliana ilihali imepita wiki tatu rafiki yangu ilibidi aombe penzi dada ana mtoto hivyo shida anamuambia jamaa naomba ela ya matumizi ya kula kama kawaida anampatia, siijala.
Ila jamaa akimuita waonane waongee dada bado anampanga kama anamkwepa jamaaa kilichotokea dada kamwambia siku fulani huku jamaa akijua watatoka pamoja muda unakwenda kumbe kamlaghai dah.
Ilipofika siku hiyo dada kamwambia kipato chako kidogo hivyo sitaweza kuwa na wewe na ujitoshelezi jamaa kabaki kwenye mshangao,hivyo ushauri unahitajika ahsante ni hayo tu.
Ahsante kwa ushauri wakoMwambie Maisha tu haya,Ajipange upya na Kwa Umakini. Akae mbaliii
hivyo ushauri unahitajika
Unamsingia rafiki yako😅😅 , nakushaur tafuta mwingineHabari, poleni kwa majukumu. Mimi nina rafiki yangu huku kampenda dada, akaongea naye wakakubaliana. Ilihali imepita wiki tatu, rafiki yangu ilibidi aombe penzi, dada ana mtoto hivyo shida. Anamuambia jamaa naomba ela ya matumizi ya kula, kama kawaida anampatia, siijala.
Ila jamaa akimuita waonane waongee dada bado anampanga, kama anamkwepa jamaa. Kilichotokea dada kamwambia siku fulani, huku jamaa akijua watatoka pamoja, muda unakwenda kumbe kamlaghai dah.
Ilipofika siku hiyo dada kamwambia kipato chako kidogo, hivyo sitaweza kuwa na wewe na hujitoshelezi. Jamaa kabaki kwenye mshangao, hivyo ushauri unahitajika, ahsante ni hayo tu.