Unaweza kumpigia magoti mpenzi wako?

Ni mapenzi tu..kama mtu ameadmit amekosa na anahitaji msamaha kwa nini asipige magoti...!!!
 
mh lakini inategemea na ukubwa wa kosa lenyewe, hapo inabidi tu mtu ujifanye mdogo kushinda piritoni!
 
Ila the way mtt alivyo jamaa anastahili kuomba msamaha kwa kupiga magoti,mtt katulia mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…