Unaweza kuendelea kuishi naye ?

Sijui Mhindi kasikia Uporoto1 kamwaga hapa kamtupa mwenyewe? maana haonekani tena...mwenye kujua alipo atoe taarifa jamni...
nipo mkuu,mimi ningempeleka mtoto kwa ndugu zangu na kuendelea kuishi naye lakini mtoto siwezi kuwa na amani akiwepo hapo.
 
nipo mkuu,mimi ningempeleka mtoto kwa ndugu zangu na kuendelea kuishi naye lakini mtoto siwezi kuwa na amani akiwepo hapo.

Nimehema mpwa maana nilianza kuingiwa na wasiwasi mzee.....lkn Wahindi bwana achana nao wale...pia wanaamani za kichawi wale kupata utajiri..mazezeta kwa wahindi mengi acha..pia na hilo lifikilie mzee..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom