naongolea usalama wa huyu mtoto.kuchanganyikiwa ni sawa na ugonjwa mwingine, tofauti tu ni ugonjwa unaohusisha akili. Mtu yoyote aweza kuchanganyikiwa inategemea na hali iliyomkuta. Kwanini amuache mkewe na aliapa kushi nae kwa shida na raha? Ni sawa tu akiendelea nae.
Kuna muhindi rafiki yangu juzi katika kufahamiana zaidi nikamuuliza kuhusu watoto wake akaniambia anaye mmoja wa miaka mitano,nikauliza mbona umechelewa hivyo si uliniambia ndoa ina miaka 16 akasema tulikuwa na mwingine mke wangu alichanganyikiwa na kumtupa toka ghorofani akiwa na miaka 2.Mke akawekwa ndani lakini baada ya muda madaktari wakathibitisha alichanganyikiwa kwa muda hakujuwa alilofanya ikabidi aachiwe.Nikamuuliza sasa una uhakika gani hawezi tena kuchanganyikiwa na kumtupa huyu akadai anampenda sana na amehamia nyumba ya chini na kuna wafanyakazi wawili anaowaamini hapo nyumbani asipokuwepo.
Nauliza hivi wewe unaweza kuendelea kuishi na mtu wa hivi ?

naongolea usalama wa huyu mtoto.

kama imethibitika ni mgonjwa tatizo liko wapi?? au ndio unyanyapaa?Kuna muhindi rafiki yangu juzi katika kufahamiana zaidi nikamuuliza kuhusu watoto wake akaniambia anaye mmoja wa miaka mitano,nikauliza mbona umechelewa hivyo si uliniambia ndoa ina miaka 16 akasema tulikuwa na mwingine mke wangu alichanganyikiwa na kumtupa toka ghorofani akiwa na miaka 2.Mke akawekwa ndani lakini baada ya muda madaktari wakathibitisha alichanganyikiwa kwa muda hakujuwa alilofanya ikabidi aachiwe.Nikamuuliza sasa una uhakika gani hawezi tena kuchanganyikiwa na kumtupa huyu akadai anampenda sana na amehamia nyumba ya chini na kuna wafanyakazi wawili anaowaamini hapo nyumbani asipokuwepo.