Unaweza kudhani unayajua mapenzi, kumbe ni kinyume chake... Jifunze kwa huyu...!

Hahaha! Ndege wa aina moja huruka pamoja. Ushawahi ona njiwa kwenye kundi la kunguru? Kama alivosema Kaizer hapo juu, kama hubby ndo huyo kazi unayo. Next time atafuatwa kuombwa ushauri na rafikiye anayelazimishwa kuchamba mtetea kwa ulimi kabla ya kungonoka.

Kaka upo? nimekumisi sana my bro....Msalimie Kaizer naona yupo busy sana hata Pm hakuna...
 
Last edited by a moderator:
Najaribu kufikiria kwa mfano umeninyima tiGo halafu unaniambia nikuchambe................!! mbona tunatiana vishawwishi vya dhambi khaa!!!!!!
 
Kinyaaaa kinatokana na tafsiri mbovu na ya kijamii kuhusu mambo fulani including taka zitokazo mwilini.Mawazo potofu.Mbona wanaozibua vyoo hawapati shida?

Umeshasema ni taka hivyo si kitu cha kufurahisha sana.

Halafu hao wazibua vyoo, sidhani kama ni job of their choice, ni kitu cha kujikimu zaidi na kupungukiwa options.
 
Hommie Asprin leo ni jumangapi vile?

Nadhani ijumaa. Hebu niulizie kwa Kaunga, appointment yake ya kumchamba mtu ni lini? Akisema kesho, ujue leo alhamisi. On serious note: kumchamba mtu mzima aliyetoka kupuu kwa raha zake, tena asiye na tatizo la kiafya ni ukichaa ambao hata Mirembe watashindwa kumpokea mgonjwa wa aina hiyo. Tahadhari: msifanye mapenzi na vichaa, ni Hatari kwa afya ya baioloji zenu.
 
Last edited by a moderator:
Hommie Asprin leo ni jumangapi vile?

Nadhani ijumaa. Hebu niulizie kwa Kaunga, appointment yake ya kumchamba mtu ni lini? Akisema kesho, ujue leo alhamisi. On serious note: kumchamba mtu mzima aliyetoka kupuu kwa raha zake, tena asiye na tatizo la kiafya ni ukichaa ambao hata Mirembe watashindwa kumpokea mgonjwa wa aina hiyo. Tahadhari: msifanye mapenzi na vichaa, ni Hatari kwa afya ya baioloji zenu.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha! Ndege wa aina moja huruka pamoja. Ushawahi ona njiwa kwenye kundi la kunguru? Kama alivosema Kaizer hapo juu, kama hubby ndo huyo kazi unayo. Next time atafuatwa kuombwa ushauri na rafikiye anayelazimishwa kuchamba mtetea kwa ulimi kabla ya kungonoka.

Unapofuatwa kuombwa ushauri ni ishara kuaminika na sio tofauti na hapo!!
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ijumaa. Hebu niulizie kwa Kaunga, appointment yake ya kumchamba mtu ni lini? Akisema kesho, ujue leo alhamisi. On serious note: kumchamba mtu mzima aliyetoka kupuu kwa raha zake, tena asiye na tatizo la kiafya ni ukichaa ambao hata Mirembe watashindwa kumpokea mgonjwa wa aina hiyo. Tahadhari: msifanye mapenzi na vichaa, ni Hatari kwa afya ya baioloji zenu.

Kuna tofauti za baiolojia kati ya taka zako na za mwingine??
 
Last edited by a moderator:
Umeshasema ni taka hivyo si kitu cha kufurahisha sana.

Halafu hao wazibua vyoo, sidhani kama ni job of their choice, ni kitu cha kujikimu zaidi na kupungukiwa options.

Afu unaniuzi? Umeshindwa kumuuliza wazibua vyoo wanakuwa wanafanya mapenzi na mende au nzi? Mbona sijaona Mende kajifungua huku Martenity Ward. Hili ni jukwaa la MMU for Christ's sake! Siyo la wazibua matoileti. Ile ni kazi, siyo mahaba. Ebo!
 
Unapofuatwa kuombwa ushauri ni ishara kuaminika na sio tofauti na hapo!!

Akakufuata mtu akikuomba ushauri kuwa anataka azae na mkeo, atakuwa anakuamini au kakuonaje? Stuka dogo! Si kila mtu akutakaye ushauri anakuamini, wengine ni vichaa.
 
Afu unaniuzi? Umeshindwa kumuuliza wazibua vyoo wanakuwa wanafanya mapenzi na mende au nzi? Mbona sijaona Mende kajifungua huku Martenity Ward. Hili ni jukwaa la MMU for Christ's sake! Siyo la wazibua matoileti. Ile ni kazi, siyo mahaba. Ebo!

My hubby Eiyer you hearrrrd?????
 
Last edited by a moderator:
Kaunga,Neno taka linajulikana baya kijamii zaidi,but watu wanashika zao nothing wrong!Jambo likiwa baya ni wewe umelitafsiri hivyo.Kwanza kiuhalisia hakuna baya wala zuri ni mpaka uamue hivyo.Ni kwanini unadhani wazibua vyoo hawajachagua hiyo kazi kwa hiari yao?
 
Duh; wamechagua kwa hiari yao coz hawajalizimishwa, lkn ninaamini hawakuwa na access ya kazi mbadala ambayo wanaiweza, inawalipa na inayopatikana!
 
Last edited by a moderator:
Afu unaniuzi? Umeshindwa kumuuliza wazibua vyoo wanakuwa wanafanya mapenzi na mende au nzi? Mbona sijaona Mende kajifungua huku Martenity Ward. Hili ni jukwaa la MMU for Christ's sake! Siyo la wazibua matoileti. Ile ni kazi, siyo mahaba. Ebo!

Wakati mwingine hueleweki kabisa,mende na nzi wanahusikaje hapa?Nimezungumza wazibua vyoo kutokana na Kaunga kutaja kinyaa.Sijajua nzi na mende umewataja kivipi!
 
Last edited by a moderator:
Kaunga,kwanini unadhani wazibua vyoo hawakua na access na kazi nyingine ndo wakachagua hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom