Unaweza kudhani unayajua mapenzi, kumbe ni kinyume chake... Jifunze kwa huyu...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaweza kudhani unayajua mapenzi, kumbe ni kinyume chake... Jifunze kwa huyu...!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Aug 29, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Leo kaja kunisabahi asubuhi hii jamaa yangu mmoja,baada ya salamu ndipo alipotoa mpya,huenda isiwe mpya kwako,kwani inaweza kuwa ni kawaida tu,alitaka shauri,akaniambia yafuatayo,"Bwana Eiyer nimeona nikushirikishe jambo hili maana najua utanishauri,mpenzi wangu ana ka tabia kanakonikera sana,amekua na kawaida kila akija kulala hapa,akienda haja kubwa huniambia eti nimtawaze maana hayo ni mapenzi na anajisikia furaha nikifanya hivyo,nimekuwa nikifanya kama anavyotaka lakini naelekea kushindwa,halafu pia ana tabia ya kutumia mswaki wangu kila anapolala hapa,nimemnunulia wake hautumii eti anaonesha upendo,jambo hili silipendi sana,sijui unanishauri nini"?Dah!Nilimuuliza kuhusu anavyojua maana ya upendo,na baadae nilimshauri na akaenda.Dah!Nilichogundua mapenzi yana changamoto zake na kamwe usije kudhani unayajua.Pia kama unadhani huu ni mzaha umekosea sana,ni bora ukafikiri upya.Lililogumu kwako ni jepesi kwa mwenzo,kuna jamaa aliwahi kuniomba ushauri kuhusu tabia yake ya kupenda kulamba mlango taka wa mpenzi wake kila wakutanapo kimwili kama kuna ubaya,uchafu ni msamiati wenye tafsiri inayokinzana miongoni mwetu,Sasa hebu fikiri utafanya nini ukikutana na mpenzi wa aina hii?
   
 2. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 2,898
  Trophy Points: 280
  Sasa hiyo ya kunawishana tena baada ya 'Big need' ni mengine tena jamani! Kha!

  Mswaki labda, Anyway labda mimi bado mshamba ngoja nikae kimya kwanza.......
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,858
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha ha! mbavu sina
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  loh kutawazana nya jamani?
  Kushara miswaki?
  Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mapenzi haya..... Tobaaaaaaaaaaaa
   
 5. N

  Neylu JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Duuuh.... Kweli kuishi kwingi kuona mengi... Mmmh, mie hizo biashara za kumtawaza mtu mzima kwa kweli na hayo mapenzi yafe kwani siwezi kabisaaa... Ila suala la mswaki kwangu naona ni kawaida na ilishatokea mpenz wangu kutumia mswaki wangu wala sikuona tatizo...
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mapenzi nadhani yamefikia hatua ya juu sana,imebaki tu kubadilishana "viungo"
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  kutumia mswaki inaweza isiwe tatizo kama "mnadendeka"
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Kulikoni tena??????
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,858
  Trophy Points: 280
  leo umekuja na mpya ndo mana nikaishia kuheka sana tu.
   
 10. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamaa si alikuwa akimwita baby,baby...Msichana akajifanya ni baby kweli,akaomba kutawazwa kama watoto...
  Hii imepitiliza sasa hayo siyo mapenzi ya kawaida mkuu.
   
 11. t

  tan 90 Senior Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hahahaha teh teh teh,uwiiiiiiĆ­ii. . . . .aaah kama kuachana tuachane,cwez kushka nya mimi.
   
 12. mwajei

  mwajei Senior Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 130
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  mmh hii mpya!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Yawezekana huyo dem analiwa tigo sasa pindi jamaa akimtawaza anahisi kama xxxxxxxx inamsugua.baada ya mda mfupi jamaa asubiri kuambiwa amtawaze kwa kutumia xxxxxx
   
 14. S

  Starn JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwetu huwa wanasema kwanza 'asee' yaaani hilo la kutawazana litakuwa ni gumu, kwangu hilo halipo. hilo la mswaki ni sawa naweza kushare nae mswak kama unamuamini.
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kijana acha mambo zako mapenzi ya kushika nya?? Mmhhh hiyo ngumu aiseee dah nimechekaje mie
   
 16. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  kushare mswaki ni uchafu na kutawazana huku mkiwa si wagonjwa ni kichaa

  good to have a love lounge but sick to just write any crapp
   
 17. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,932
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Mimi hata kitendo cha kufikiri tu kuwa katoka chooni kwa shughuli hiyo huwa inapunguzia mzuka! Sasa ndio lije la kushika 'nnya' tena!
   
 18. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hapo naona ugonjwa wa akili tu na si mapenzi.
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Nakuambia maisha haya yana vituko vyake!
   
 20. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Ni kawaida kwa anaekubaliana na hayo!
   
Loading...