Unaweza kuchora picha za 3D kwenye flat paper?

Unaweza kuchora picha za 3D kwenye flat paper?

Picha nzuri sana!

Wapi wanafumdisha hii taaluma?

yeah nimependa hizi picha, natamani nipate sehemu vijana wangu wadogo wajifunze kuchora
Kuna shule inaitwa Academic International school pale Dar kuna teacher mmoja anaitwa Ernest Mtaya. Ni mwalimu mzuri amenifundishia wanangu pia. Shule ipo karibu na studio za Clouds Fm
 
Kuna shule inaitwa Academic International school pale Dar kuna teacher mmoja anaitwa Ernest Mtaya. Ni mwalimu mzuri amenifundishia wanangu pia. Shule ipo karibu na studio za Clouds Fm

ok, ahsante kwa hili, lakini je gharama zake zikoje?
 
  • Thanks
Reactions: Paw
heheheheh! kumbe unamjua hadi Mr Hemedi??
alikuwa anajua kuchora ile mbaya.mie nilimkimbiaga nikaenda kwa mwl Chao na Kaale na nani yule mwingine kusoma cookery.
however needlework lilikuwa ni darasa bomba sana kwa waliosoma

Hahahaaaa yaani afadhali hata wewe ulienda cookery. Mm ckuambulia chochote hata Music kwa Minja ckusoma duuh kitambo kweli. Ila needle work ilikuwa bomba kwa mwalimu Nshao. Mr Hemedi fine art watu walipata vipaji sana.
 
Back
Top Bottom