Unaweza kuchimba dawa kwenye rami...

Unaweza kuchimba dawa kwenye rami...

nilipoona hii heading na picha ni upuuzi lakini baada ya kuangalia avatar ya mleta mada nimeelewa
 
Tanroads wameiona hii? Kumbe ndiyo maana service roads zina mashimo eeeh...ngoja niwaambie Tanroads wawe wanapanda ile mimea ya kuwasha (upwipwi) kando kando ya barabara zetu.
 

Niliwahi tumiwa hii kwenye"Outlook" yangu.....kama miaka 3 nyuma!!....

Kawaida dawa inachimbwa kokote kaka japo bila jembe!!
 
Hawa walevi, duuuh! mkojo lita 20 kwa kila mmoja!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom