Azarel JF-Expert Member Aug 25, 2016 28,410 39,486 Feb 22, 2017 #1 Naomba kufahamishwa...hili tunda gani? Ni chungwa, chenza au?
Nokia83 JF-Expert Member Jan 16, 2014 24,644 44,288 Feb 22, 2017 #3 Nimesahau jina lake halisi sijui yanaitwa mabalanzi au nn....yapo kama machungwa hivi Lkn hii picha imekaa km kiboksi manyoya
Nimesahau jina lake halisi sijui yanaitwa mabalanzi au nn....yapo kama machungwa hivi Lkn hii picha imekaa km kiboksi manyoya
Azarel JF-Expert Member Aug 25, 2016 28,410 39,486 Feb 22, 2017 Thread starter #6 Nokia83 said: Nimesahau jina lake halisi sijui yanaitwa mabalanzi au nn....yapo kama machungwa hivi Lkn hii picha imekaa km kiboksi manyoya Click to expand... Hahaha..kiboksi manyoya tena mkuu?
Nokia83 said: Nimesahau jina lake halisi sijui yanaitwa mabalanzi au nn....yapo kama machungwa hivi Lkn hii picha imekaa km kiboksi manyoya Click to expand... Hahaha..kiboksi manyoya tena mkuu?
Tunakodisha Bunduki JF-Expert Member Oct 16, 2016 822 1,279 Feb 22, 2017 #7 Nokia83 said: Nimesahau jina lake halisi sijui yanaitwa mabalanzi au nn....yapo kama machungwa hivi Lkn hii picha imekaa km kiboksi manyoya Click to expand... Hahaah
Nokia83 said: Nimesahau jina lake halisi sijui yanaitwa mabalanzi au nn....yapo kama machungwa hivi Lkn hii picha imekaa km kiboksi manyoya Click to expand... Hahaah
masijala JF-Expert Member Oct 3, 2016 280 425 Feb 22, 2017 #9 hilo ni chenza ila sasa wale wa kufananisha kazi kwetu
Nokia83 JF-Expert Member Jan 16, 2014 24,644 44,288 Feb 22, 2017 #11 Tunakodisha Bunduki said: Hahaah Click to expand... Kidude kama cha joanah
Tunakodisha Bunduki JF-Expert Member Oct 16, 2016 822 1,279 Feb 22, 2017 #12 Nokia83 said: Kidude kama cha joanah Click to expand... Ohoooo ngoja ajee
Bwana Mapesa JF-Expert Member Apr 28, 2011 2,551 1,777 Feb 22, 2017 #13 Azarel said: Naomba kufahamishwa...hili tunda gani? Ni chungwa, chenza au? View attachment 473414 Click to expand... Chendha
Azarel said: Naomba kufahamishwa...hili tunda gani? Ni chungwa, chenza au? View attachment 473414 Click to expand... Chendha
Ziroseventytwo JF-Expert Member Mar 27, 2011 8,414 14,978 Feb 22, 2017 #14 Wr mtoto leta miwani yangu. Sioni vizuri
famousrkr JF-Expert Member Feb 6, 2013 295 228 Feb 22, 2017 #15 hilo tunda linafanana jina na chuo kikuu kimoja kipo Japan kinaitwa "sijui nini...moto" vileeee
F fisi 2 JF-Expert Member Nov 2, 2010 3,276 4,640 Feb 22, 2017 #18 Sijui ndo nimezeeka . Kwani hilo ni tunda??