Unawaza nini sasa hivi?

Mm saiz nawaza tu ni jinsi gani mwenyezi mungu alivo mkarimu.. Kila cku tunamuudhi kwa namna moja ama nyingine ila ukitubu na kumuomba msamaha, anakusamehe kiroho safi.
Asipokuwepo je?
 
Nawazaaa....natamani ningekuwa on beautiful vacation right now,somewhere in Ibiza...au Hawaii.Just Chillin' and havin' soo much fun ... enjoying every second of the pleasure.
Safi kabisa sio kila siku kuwaza mengine tu
 
Nawaza siku nikihukumiwa kwa cyber crime dhamana na 7M itapatikana je?
 
Yaani kwa huu uzi wako inaonyesha akili na mawazo yako kuwa unapenda sana kugegedwa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Yaani kwa huu uzi wako inaonyesha akili na mawazo yako kuwa unapenda sana kugegedwa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
We hupendi kugegeda au ndio unafiki wa hali ya juu
 
We hupendi kugegeda au ndio unafiki wa hali ya juu
Yesu wangu!! [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] wee noma mi nawaza nitampata wapi wa kuanza nae maisha!!wee unawaza wa kukugegeda!!!duu!!haya bhana !!
 
Yesu wangu!! [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] wee noma mi nawaza nitampata wapi wa kuanza nae maisha!!wee unawaza wa kukugegeda!!!duu!!haya bhana !!
Huyo wa kuanza nae maisha mtakua hamgegedani au,?sasa mi niwaze wa kuanza nae maisha wa nini?
 
Nawaza kama ungejua mimi ndo naweza kukufanyia hayo yote uwazayo basi hayo uliyoyawaza ungekuwa ushayapata tayari.
 
Huyo wa kuanza nae maisha mtakua hamgegedani au,?sasa mi niwaze wa kuanza nae maisha wa nini?
Huwezi amini sina mpaka sasa wa kugegedana nae najua hapa hutoamini!! Na kama huwezi amani kaa hivyo hivyo usiamini!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…