Hapo ulipo unafikiria nini au unamfikiria nani? Unawaza kufanya nini? Ungependa kusikia nini moyo wako usuuzike, ufurahi!
Mimi ningependa niwe sehemu nzuri na mtu ninayempenda, sehemu iliyotulia anishike mkono tutembee wote, anikiss kiss yani nione dunia yangu, anishike kiuno, anibebe anione kama malkia [emoji8][emoji8]
Unajua kuna watu ukikutana nao hujuti au ukiwa nao hujuti kabisa anakupa raha mwanzo mwisho, lakini kuna mwingine unaweza ujute hata kwanini umeonana nae ama nene[emoji23]
Basi mi nafikiria vitu vizuri vizuri tu au ningekuwa sehemu nakula bata na samsunComplexshunieICHANANyani Ngabu na wengineo wengi hata wale wapekuzi au mapaparazi wa kujitegemea ningependa muwepo tu ili mtupige picha hivi na kutuwekea kumbukumbu au sio.
Basi tu ndio navyofikiria hivi acha nilale tu mie. ujumbe wa usiku huu.
Mm saiz nawaza tu ni jinsi gani mwenyezi mungu alivo mkarimu.. Kila cku tunamuudhi kwa namna moja ama nyingine ila ukitubu na kumuomba msamaha, anakusamehe kiroho safi.
Nawazaaa....natamani ningekuwa on beautiful vacation right now,somewhere in Ibiza...au Hawaii.Just Chillin' and havin' soo much fun ... enjoying every second of the pleasure.